Tundu Lissu ana Schizophrenia!

Tundu Lissu ana Schizophrenia!

Lissu ana utaira fulani hivi, unaoitwa autism.

Angechelewa kuzaliwa kwa masaa tu angekuwa full na ulemavu wa utaira.

Nyie mtazameni sura yake na mataira halafu semeni.
Mstari mwembamba kati ya taahira na "jiniazi"!
 
Equation kwako ndio nini? Unataka kuniambia huyo Prf Mruma ametumia equation katika ripoti yake?
Hujamuelewa mtoa mada.Anasema Tundu Lissu hawezi Hata kuandika chemical equation moja ya chemistry anawezaje kusema kazi ya Prof ni rubbish? Huku yeye Fani aliyobobea ni Sheria!!?
 
Kumwelewa Tundu lissu inahitaji utulivu wa akili sio kukurupuka .
 
Pale Bungeni,waheshimiwa ikifika zamu ya TL kuchangia,waheshimiwa wote hutulia kusikiliza nondo zake. Huu wa muanzisha mada ni upupu na pia majungu tu ya Barbora
 
Back
Top Bottom