Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wa ajabu sijawahi kusikia, amesomea Sheria, hawezi hata kuandika
equation moja rahisi kabisa ya Kemia, lkn anasema kazi ya Utafiti uliofanywa na Wanasayansi wetu ni
rubbish,
ila ya kwake tu ndiyo ina maana, sasa sijawahi kusikia Binadamu mwenye kuongea hivi, hasa anapoongelea mambo ambayo siyo fani yake, kama angehukumu hivyo kwenye mambo ya Sheria ambayo ndiyo eneo lake ningeeelewa lkn Kemia na Sheria ni wapi na wapi?
Huyu jamaa
alishwahi kusema kwamba Majaji wa Tanzania hawajui Kiingereza, sasa sijui aliwapima vipi na yeye ana uhakika gani kama anakijua hicho Kiingereza ukiwalinganisha na Majaji wa Tanzania ukichukulia
amezaliwa na kukulia Singida?
Namaanisha mtu ambaye siyo
native speaker wa Lugha
x anawezaje kusema wenzake ambao wote wana Elimu sawa
siajabu hata wamemzidi kwamba hawaijui hiyo Lugha
x ilihali yeye siyo
native speaker?
Namuongelea Tundu Lisu,
ana matatizo kichwani, ...