Tundu Lissu ana kundi kubwa la vijana na wasomi nyuma yake!

Halina ubishi hilo Mkuu. Watamtukana, watamkejeli, watamtia lupango kwa makosa ya kubambikiwa lakini huyu yumo ndani ya mioyo ya Watanzania walio wengi nchini. Ni shujaa wetu ni hazina kubwa ya Taifa la Tanzania. Tutaendelea kumpenda daima na kumuunga mkono katika mapambano ya kupinga udikteta uchwara nchini.

[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]
\
Amewafunika Lowassa na Mbowe, kawaacha kwa mbali sana. Tatizo lake hatokei kwetu.
 
bure kabisa wewe wamalila sio watu?? We punga nn

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_-d7xzro.jpg

What exactly are you trying to type
_20170720_215946.JPG

May Allah bless Me and You
 
Bullshit with bulshit.
Tundu Lissu ni katika wanasheria wabovu na wanasiasa wasiokuwa na focus.
Nahisi hajasoma, msomi hafanyi ungedere wa huyu jamaa.
Wakili msomi, mbunge,rais wa TLS.
Bahati mbaya kwangu huyu mtu hafai hata kuwa houseboy.
Lakini mawakili wasomi ndio waliomwona kuwa ndiye anayefaa na kustahili kuwa rais wao wa TLS Tanzania. Sidhani kama wewe unawazidi upeo mawakili wasomi wa Tanzania!
 
Daima ntasimamia katika hili pamoja na ELIMU95% YAKE HANA HEKIMA0% NA Busara0%
 
Ufuatiliaji wako una ukweli wa kujidanganya.

Tanzania raia wake wengi ni vijana na watoto kuliko kundi lingine lolote.

Wanomuunga mkono ni vijana wachache wasio na kazi.
 
Lakini mawakili wasomi ndio waliomwona kuwa ndiye anayefaa na kustahili kuwa rais wao wa TLS Tanzania. Sidhani kama wewe unawazidi upeo mawakili wasomi wa Tanzania!
Hawa watu ni wa ajabu sana. Wakiwa na matatizo ya kesi, mambo ya mirathi, mikataba nk nk wanawaona mawakili kama wasomi watukuka na wenye msaada sana katika maisha yao kwani maamuzi yao ni ya kisomi.
Lakini likija swala la hao mawakili kumuona Lissu anafaa kuwaongoza dhidi ya serikali hii ya ccm wanawaona mawakili hawana akili.
CCM lazima itakuwa inatumia nguvu za giza kuharibu bongo za watu.
 
Bullshit with bulshit.
Tundu Lissu ni katika wanasheria wabovu na wanasiasa wasiokuwa na focus.
Nahisi hajasoma, msomi hafanyi ungedere wa huyu jamaa.
Wakili msomi, mbunge,rais wa TLS.
Bahati mbaya kwangu huyu mtu hafai hata kuwa houseboy.
Kumjua mtu mwenye akili, na wewe inabidi uwe na akili angalao ya kiasi fulani. Ndiyo maana wenye akili, weledi, wanamwelewa Tundu Lisu.

Ukiona watu wengi wenye uelewa na akili wanamwelewa mtu fulani halafu wewe pekee yako humwelewi, ujue lazima una hitilifu ya akili. Njia ya kukusaidiai ni kuwahi kuwaona wanasaikolojia au wewe mwenyewe kwenye hospitali zinazotibu matatizo ya akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ccm wanafanya kazi na wapinzani wanaojitambua siyo hawa mburura, style ya chadema ni ileile tangu kipindi cha DR.SLAA hawabadiliki, Zitto kabadili style na Kafulila mpinzani wa kweli anakuja kwenye show .cchadema ni watukanaji hawana staha, huwezi kumtukana mkuu wa nchi bali tafuta njia ya kufikisha ujumbe bila kuumiza upande mwingine. Kama mnajidanganya eti Lissu ana watu hata JPM ana watu nyuma yake.So mnataka nchi isambaratike kwa ujinga wenu.Lazima mkojoleshwe hadi ubungo uwavujie
Ni tusi gani TL amelitamka?

Kuwa JPM amewaweka ndugu zake wa damu kwenye vitengo nyeti vya fedha, ni uwongo?

Kusema kuwa baraza la mawaziri limejaa watu wa kanda moja, ni uwongo?

Kusema serikali imekuwa ikiwaonea watu wanaomkosoa Rais, kwa kuwashika na kuwaweka ndani watu wasio na makosa, ni uwongo?

Ni kweli TL na JPM, wote wana watu wengi wanaowaunga mkono. JPM anaungwa mkono zaidi na watu wajinga wasio na elimu na upeo na wazee (TWAWEZA), TL anaungwa mkono zaidi na wasomi, watu wenye upeo na akili ya kutafakari na kuchambua mambo.

Ukweli huu ndiyo sababu kubwa hata ukisikiliza hotuba za JPM zinalengo watu wasio na uelewa, mengi anayoyaongea siyo ya kweli kwa uthibitisho au hata logic. Anajua kundi analolilenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bullshit with bulshit.
Tundu Lissu ni katika wanasheria wabovu na wanasiasa wasiokuwa na focus.
Nahisi hajasoma, msomi hafanyi ungedere wa huyu jamaa.
Wakili msomi, mbunge,rais wa TLS.
Bahati mbaya kwangu huyu mtu hafai hata kuwa houseboy.
Hata Kafulila mlishawahi kumuita Tumbili katika sakata la escrow leo mnammwagia misifa kibao kwamba ni mzalendo. Mtamuelewa tu Lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bullshit with bulshit.
Tundu Lissu ni katika wanasheria wabovu na wanasiasa wasiokuwa na focus.
Nahisi hajasoma, msomi hafanyi ungedere wa huyu jamaa.
Wakili msomi, mbunge,rais wa TLS.
Bahati mbaya kwangu huyu mtu hafai hata kuwa houseboy.

Acha chuki binafsi fisadi kuu wewe.
 
Bullshit with bulshit.
Tundu Lissu ni katika wanasheria wabovu na wanasiasa wasiokuwa na focus.
Nahisi hajasoma, msomi hafanyi ungedere wa huyu jamaa.
Wakili msomi, mbunge,rais wa TLS.
Bahati mbaya kwangu huyu mtu hafai hata kuwa houseboy.

Umeona ukichangia hoja hutaeleweka maana hujazoea kufanya hivyo. Matokeo yake umefanya kile ulichozoea kufanya - 'nyoka huuma afikiapo' na ningeshangaa kama ungesema kitu tofauti na hiki. Shame upon you!
 
Bullshit with bulshit.
Tundu Lissu ni katika wanasheria wabovu na wanasiasa wasiokuwa na focus.
Nahisi hajasoma, msomi hafanyi ungedere wa huyu jamaa.
Wakili msomi, mbunge,rais wa TLS.
Bahati mbaya kwangu huyu mtu hafai hata kuwa houseboy.
NADHANI WEWE NDO NGEDERE,MAANA KAMA ANA SIFA ZOTE ULIZO ZIANDIKA HAPO KWA NINI ANACHAGULIWA KWA KURA NYINGI TENA WAKIWEMO NA WANASHERIA WA SIRIKALI NA CCM PIA?.
JE NA WEWE NI KIONGOZI WA KUCHAGULIWA KAMA ALIVYO TL?.
KAMA SIYO,BASI WEWE NDO UTAKUWA NGEDERD
 
Back
Top Bottom