Tundu Lissu ana kundi kubwa la vijana na wasomi nyuma yake!

Kwa MAZWAZWA kilichoandikwa ni upuuzi lakini kwa wanaojitambua wanajua kitu kilichoandikwa kinaifanya Serikali kuhangaika na Lissu kutwa kucha. Sasa mtu mpuuzi kama Lissu kwanini aisumbue Serikali kiasi hiki? Si waachane naye tu aendelee kufanya upuuzi wake maana hauna madhara yoyote yale kwa Tanzania au Watanzania.

[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]

Mleta hoja anatumia nguvu nyingi Sana kuandika upuuuzi tu
 
Kwa mjibu wa twaweza wewe ni kati ya hawa.
Mzee
Mwanamke
Usiye na elimu au unayo ila unatumia kiungo kingine tofauti na kichwa wakati wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_w9z4d8.jpg

May Allah bless Me and You
 
Bullshit with bulshit.
Tundu Lissu ni katika wanasheria wabovu na wanasiasa wasiokuwa na focus.
Nahisi hajasoma, msomi hafanyi ungedere wa huyu jamaa.
Wakili msomi, mbunge,rais wa TLS.
Bahati mbaya kwangu huyu mtu hafai hata kuwa houseboy.
IMG_c6vyxb.jpg
_20170720_215946.JPG

May Allah bless Me and You
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ccm wanafanya kazi na wapinzani wanaojitambua siyo hawa mburura, style ya chadema ni ileile tangu kipindi cha DR.SLAA hawabadiliki, Zitto kabadili style na Kafulila mpinzani wa kweli anakuja kwenye show .cchadema ni watukanaji hawana staha, huwezi kumtukana mkuu wa nchi bali tafuta njia ya kufikisha ujumbe bila kuumiza upande mwingine. Kama mnajidanganya eti Lissu ana watu hata JPM ana watu nyuma yake.So mnataka nchi isambaratike kwa ujinga wenu.Lazima mkojoleshwe hadi ubungo uwavujie
Ila mkuu wa nchi mstaafu anaweza KUTUKANA

IMG_20170720_230624.jpg

So ACT ni wapinzani?
Nyie ndo wavunja madirisha mlipokuwa mnasoma
IMG_k2znlk.jpg

May Allah bless Me and You
 
Mkuu naona umeamua kuja kivingine lol! hahahahaha. Imebidi nitabasamu. Ahsante sana Mkuu.
He he he hee,hawa WAPUUZI NI KUWAELIMISHA KWA LUGHA YA PICHA TU.

May Allah bless Me and You
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom