Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,395
- 3,901
Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa
Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu
Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.
Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu
Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.
Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.
Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.