Tundu Lissu ajeruhiwa tena

Tundu Lissu ajeruhiwa tena

Kwanini serikalk ishitakiwe wakati tayari "ilishatoa Boko" kupitia makubaliano Kati yake na Barrick?
 
Tuwekee takwimu basi, kashinda ngapi kashindwa ngapi zake na za kuwakilisha
Lissu si mwanasheria mzuri hata kidogo ana majigambo tu na anatumia nguvu nyingi kupayuka bila kutumia akili ndiyo maana kesi nyingi huwa anashindwa mahakamani.
 
Tuwekee takwimu basi, kashinda ngapi kashindwa ngapi zake na za kuwakilisha
Kwenye kesi yetu tulimuweka yeye kama wakili wetu tukashindwa kwa kukosea kipenge kidogo sana sababu ya kupuuzia. Tukakata rufaa na kuweka wakili mwingine tukashinda kesi. Hafai kabisa kuwa wakili ila anafaa kuwa mwanaharakati tu.
 
Ndugu zangu,

Nimejaribu mara kadhaa jana kumpigia mdogo wangu Tundu aliyeko Ubelgiji lakini simu yake ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kama "Kaka mkubwa".Nikamwambia Lissu amemsikia au kusoma ujumbe wa Peter Geleti? Ghafla akachukua simu huku akisema "Kaka najua unataka kujeruhi nafsi yangu kwa kunukuu matamshi yangu kwenye sakata la Barrick mwaka 2017 mmeshinda,hongereni sana" akakata simu.

Kauli yake ilinikumbusha jinsi alivyowahi kusema kwa majigambo kuwa "mtashitakiwa na hamna hata haki mchanga licha ya dhahabu" kauli yake hii iliibua vijana ambao ni wafuasi wake wakaanza kunukuu kauli hiyo huku kila kukicha wakitupa wasifu wa "wazungu" waliokuja kujadili suala la makinikia.

Tuliambiwa mengi zaidi tuliambiwa sifa na wasifu wa Chief operating officer wa Barrick ambaye aliwa kuwa mwanajeshi eti huyu jamaa ni mwanamikakati balaa.Huku vijana wengine kila siku wakifuatilia na kuripoti jinsi gani wanasheria wa Barrick wanajiandaa kufungua kesi MIGA sijui ICJ nk.

Wengi wao leo wamebaki kimya,wameumbuka hakika Tundu Lissu amejeruhiwa tena.

Hii ni JF!
Noah zetu ziko wapi? Weka sauti ya majadiliano na Lisu. Mbona mnaweza kuweka majadiliano ya akina Nape? Ukishindwa kuweka, katawadhe mhudumie mmeo na Lumumba fc. Propaganda phuu?
 
andiko la Zito mmelisoma lakini nyie buku 7? au mnapayuka tu. ni vema mkamjibu kwa hoja
 
Ndugu zangu,

Nimejaribu mara kadhaa jana kumpigia mdogo wangu Tundu aliyeko Ubelgiji lakini simu yake ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kama "Kaka mkubwa".Nikamwambia Lissu amemsikia au kusoma ujumbe wa Peter Geleti? Ghafla akachukua simu huku akisema "Kaka najua unataka kujeruhi nafsi yangu kwa kunukuu matamshi yangu kwenye sakata la Barrick mwaka 2017 mmeshinda,hongereni sana" akakata simu.

Kauli yake ilinikumbusha jinsi alivyowahi kusema kwa majigambo kuwa "mtashitakiwa na hamna hata haki mchanga licha ya dhahabu" kauli yake hii iliibua vijana ambao ni wafuasi wake wakaanza kunukuu kauli hiyo huku kila kukicha wakitupa wasifu wa "wazungu" waliokuja kujadili suala la makinikia.

Tuliambiwa mengi zaidi tuliambiwa sifa na wasifu wa Chief operating officer wa Barrick ambaye aliwa kuwa mwanajeshi eti huyu jamaa ni mwanamikakati balaa.Huku vijana wengine kila siku wakifuatilia na kuripoti jinsi gani wanasheria wa Barrick wanajiandaa kufungua kesi MIGA sijui ICJ nk.

Wengi wao leo wamebaki kimya,wameumbuka hakika Tundu Lissu amejeruhiwa tena.

Hii ni JF!
Clickbait article.. . A stupid one
 
Tumeshalipwa? Tuingie barabarani kumpongeza rais.

MzeeAmechanganyikiwa.
Kifo cha noah zetu kimerasmishwa rasmi!!! Wazee wa "ndiyoooo" wanakata viunu kushangilia "ushindi" siku mambo yakiwa kinyume "wataandamana kulaani!!" Acha twende na mdundo wa "town star vs bush star" labda tutapandisha uchumi na kushughulikia mafisadi
 
Ndugu zangu,

Nimejaribu mara kadhaa jana kumpigia mdogo wangu Tundu aliyeko Ubelgiji lakini simu yake ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kama "Kaka mkubwa".Nikamwambia Lissu amemsikia au kusoma ujumbe wa Peter Geleti? Ghafla akachukua simu huku akisema "Kaka najua unataka kujeruhi nafsi yangu kwa kunukuu matamshi yangu kwenye sakata la Barrick mwaka 2017 mmeshinda,hongereni sana" akakata simu.

Kauli yake ilinikumbusha jinsi alivyowahi kusema kwa majigambo kuwa "mtashitakiwa na hamna hata haki mchanga licha ya dhahabu" kauli yake hii iliibua vijana ambao ni wafuasi wake wakaanza kunukuu kauli hiyo huku kila kukicha wakitupa wasifu wa "wazungu" waliokuja kujadili suala la makinikia.

Tuliambiwa mengi zaidi tuliambiwa sifa na wasifu wa Chief operating officer wa Barrick ambaye aliwa kuwa mwanajeshi eti huyu jamaa ni mwanamikakati balaa.Huku vijana wengine kila siku wakifuatilia na kuripoti jinsi gani wanasheria wa Barrick wanajiandaa kufungua kesi MIGA sijui ICJ nk.

Wengi wao leo wamebaki kimya,wameumbuka hakika Tundu Lissu amejeruhiwa tena.

Hii ni JF!
Attachment 4 umeisoma ukaielewa? Ipeleke basi hata Google translate.....
 
Lissu akitaka kuoa tena atapata wake wengi sana wanampenda sana..bahati mbaya hata wanaume kadhaa wanaweza kutaka waolewe mmoja wao ni huyu.
 
Acha mawazo ya kinyonge. Kuwa muungwana hata ktk michezo mpinzani wako ukimshinda fair play principal hukutaka kukiri kushindwa na kumpongeza Kama anastahili.

Uko kama uneazimwa nchi jirani Sasa unaleta wivu na roho mbaya kwa mafanikio ya mwenyeji wako.

Tusibishane sana kwa kitu ambacho kipo wazi.
Muda ni mwalimu mzuri. Siku Tanzania italipwa hizo pesa, Njoo uanzishe uzi humu jamvini. Ntakuchangia na kukupa like.
 
Back
Top Bottom