Tundu Lissu ajeruhiwa tena

Tundu Lissu ajeruhiwa tena

Mpaka kufikia hapo Lissu ana mchango mkubwa.
Wenda bila yeye watanzania tusingejua mengi zaidi.


Ila napishana nae katika mdomo wake unaotoa matamshi yenye kuchefua nashindwa kumtofautisha na Bajaji au Sukuma.
Acha kumlinganisha kamanda Lissu na vitu vya kijinga!
 
Mkuu nilipoona post hii nikasema mkuu JokaKuu kesha anza kutulisha matango pori kwenye hesabu? Kushika calculator nikashtuka kumbe kweli! Itabidi watulipe kwa muda wa miaka 633! Hakika hilo deni litakuwa linashika namba moja ulimwenguni kwa kulipwa kwa muda mrefu haijapata kutokea.

..hata mimi nilikuwa najiuliza hii calculator imepatwa na nini?

..wanaoshangilia na kunengua kuwa tumeshinda ni vibaraka wa Barrick.

..Prof.Kabudi alisema kuwa nchi ilikuwa shimoni.

..mimi nadhani ametutoa shimoni akatubwaga kwenye korongo.
 
Lissu si mwanasheria mzuri hata kidogo ana majigambo tu na anatumia nguvu nyingi kupayuka bila kutumia akili ndiyo maana kesi nyingi huwa anashindwa mahakamani.
Ongea taratibu Mzee Wasira asikusikie... na kwa nini aendi jela? au anashindwaje?... Lisasi za nini?
 
Lissu si mwanasheria mzuri hata kidogo ana majigambo tu na anatumia nguvu nyingi kupayuka bila kutumia akili ndiyo maana kesi nyingi huwa anashindwa mahakamani.
2008 kuna mtu aliandika hivi kumhusu Lisu,
8. Tundu Lissu a thuggish lawyer who is making a lot of noise against multinationals but is currently awash with [consulting] cash from multinationals.
labda ndivyo vile vi-SMS alivyokuwa akitumiana na kina Mwanyika.
 
Kamalizaneni kwanza na kinana na Nape na Makamba ndiyo urukie habari za Lissu
Sawa sawa mkuu,enzi hizo huko China kulikuwa pia na kilichoitwa genge la watu wanne waasi naona na hapa wameibuka Makamba wawili,Nape,na mzee wa pembe za ndovu wamalizane nao kwanza maana hao ni tishio kwa chama chao.
 
Lissu si mwanasheria mzuri hata kidogo ana majigambo tu na anatumia nguvu nyingi kupayuka bila kutumia akili ndiyo maana kesi nyingi huwa anashindwa mahakamani.
Hebu zitaje kesi alizoshindwa mahakamani kwa uzembe wake wa kutojua sheria.
Maneno haya nenda kayazungumze kule Tarime Nyamongo uone kama hujatahiriwa bila ganzi!
 
..sasa wameibuka vibaraka wa barrick.

..hatuwezi kushangilia "kishika uchumba" 300 million wakati ripoti za uchunguzi zimebainisha tunawadai 190 billion.

..hata tukisema watulipe 300 million kila mwaka itachukua zaidi ya miaka 600 kumaliza deni la 190 huku tukiwasamehe riba.
Kamanda upo?kama nakuona ulivyofura
 
Wanashangilia kitu ambacho hawajapata. Sawa na kushangilia mimba kumbe MTU avimba tumbo kwa safura.
Bado hawajiulizi kwanini zile tuu $300M za kishika uchumba na zenyewe hazijalipwa tuu?
Hawa wanacheza na akili za jiwe wanajuwa oktoba hakatizi ili waje wakubaliane na wenye weledi zaidi
Naona ulivyofura
 
Mengi mtasema sana.
Ukimnyanganya mtu kitu akanyamaza, husiseme amekubali kukupa. Huwezi jua nini kitafuata baada ya hapo.
Acha mawazo ya kinyonge. Kuwa muungwana hata ktk michezo mpinzani wako ukimshinda fair play principal hukutaka kukiri kushindwa na kumpongeza Kama anastahili.

Uko kama uneazimwa nchi jirani Sasa unaleta wivu na roho mbaya kwa mafanikio ya mwenyeji wako.
 
Anzeni kudai zile fedha ndipo mtajua Kabudi anajua family law tu..
 
Babake yupo hai. Usisahau.
Nasikia tumepigwa tena!!!Wazungu wametuchezea akili na kulamba dume,kama makubaliano ya serikali na Barrick yako kama Zitto alivyoanisha basi taifa letu lina laana!!!
 
Back
Top Bottom