Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
- #41
Jenga hoja kamandaWewe ni bwege tu kwa Lissu

Unalia nini sasa?Mjinga ni kama mfu (maiti)! Ƙwa akili zenu za kiKabudi na kijiwe mvutano wa Barrick na Acacia una tija kwa TZ! Mtasubiri sana! Ƙaeni mkishangilia maigizo ya wazungu kama mazuzu!
Mbona unalialia?Kama unavyo payuka wewe mramba viatu wa chakubanga
Salary slipBAK Mwanahabari Huru na wanafiki woote
Unalia nini sasa?
Jiwe la gizani limekupataTabulalasa at Lumumba work .
Kuna kitu mmepata? Mnawajua wazungu mnawasikia!!?Aibu yake na wazungu wake.
Ni mbaya zaidi ya wa mali
UNAKALIA UPANGA SIONdugu zangu,
Nimejaribu mara kadhaa jana kumpigia mdogo wangu Tundu aliyeko Ubelgiji lakini simu yake ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kama "Kaka mkubwa".Nikamwambia Lissu amemsikia au kusoma ujumbe wa Peter Geleti? Ghafla akachukua simu huku akisema "Kaka najua unataka kujeruhi nafsi yangu kwa kunukuu matamshi yangu kwenye sakata la Barrick mwaka 2017 mmeshinda,hongereni sana" akakata simu.
Kauli yake ilinikumbusha jinsi alivyowahi kusema kwa majigambo kuwa "mtashitakiwa na hamna hata haki mchanga licha ya dhahabu" kauli yake hii iliibua vijana ambao ni wafuasi wake wakaanza kunukuu kauli hiyo huku kila kukicha wakitupa wasifu wa "wazungu" waliokuja kujadili suala la makinikia.
Tuliambiwa mengi zaidi tuliambiwa sifa na wasifu wa Chief operating officer wa Barrick ambaye aliwa kuwa mwanajeshi eti huyu jamaa ni mwanamikakati balaa.Huku vijana wengine kila siku wakifuatilia na kuripoti jinsi gani wanasheria wa Barrick wanajiandaa kufungua kesi MIGA sijui ICJ nk.
Wengi wao leo wamebaki kimya,wameumbuka hakika Tundu Lissu amejeruhiwa tena.
Hii ni JF!
Wanashangilia kitu ambacho hawajapata. Sawa na kushangilia mimba kumbe MTU avimba tumbo kwa safura.Kwani tumelipwa dola bilion 190?
huyu binti msagaji huwa anawapenda sana wabunge wa upinzania kuna siku alimuomba urafiki Kubenea akaishia kukatwa makofi.Wakudadavuwa unajipendekeza sana kwa Lissu, sidhani hata kama yeye huwa anakuwaza.
Hivi unadhani umewashinda Barick? Kwa lipi zaidi?Ndugu zangu,
Nimejaribu mara kadhaa jana kumpigia mdogo wangu Tundu aliyeko Ubelgiji lakini simu yake ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kama "Kaka mkubwa".Nikamwambia Lissu amemsikia au kusoma ujumbe wa Peter Geleti? Ghafla akachukua simu huku akisema "Kaka najua unataka kujeruhi nafsi yangu kwa kunukuu matamshi yangu kwenye sakata la Barrick mwaka 2017 mmeshinda,hongereni sana" akakata simu.
Kauli yake ilinikumbusha jinsi alivyowahi kusema kwa majigambo kuwa "mtashitakiwa na hamna hata haki mchanga licha ya dhahabu" kauli yake hii iliibua vijana ambao ni wafuasi wake wakaanza kunukuu kauli hiyo huku kila kukicha wakitupa wasifu wa "wazungu" waliokuja kujadili suala la makinikia.
Tuliambiwa mengi zaidi tuliambiwa sifa na wasifu wa Chief operating officer wa Barrick ambaye aliwa kuwa mwanajeshi eti huyu jamaa ni mwanamikakati balaa.Huku vijana wengine kila siku wakifuatilia na kuripoti jinsi gani wanasheria wa Barrick wanajiandaa kufungua kesi MIGA sijui ICJ nk.
Wengi wao leo wamebaki kimya,wameumbuka hakika Tundu Lissu amejeruhiwa tena.
Hii ni JF!
Mkuu nilipoona post hii nikasema mkuu JokaKuu kesha anza kutulisha matango pori kwenye hesabu? Kushika calculator nikashtuka kumbe kweli! Itabidi watulipe kwa muda wa miaka 633! Hakika hilo deni litakuwa linashika namba moja ulimwenguni kwa kulipwa kwa muda mrefu haijapata kutokea...sasa wameibuka vibaraka wa barrick.
..hatuwezi kushangilia "kishika uchumba" 300 million wakati ripoti za uchunguzi zimebainisha tunawadai 190 billion.
..hata tukisema watulipe 300 million kila mwaka itachukua zaidi ya miaka 600 kumaliza deni la 190 huku tukiwasamehe riba.
Unayelia ni wewe punga.Mbona unalialia?
PhD holder toka university of CCMNdugu zangu,