Tundu Lissu ajeruhiwa tena

Tundu Lissu ajeruhiwa tena

Labda nipewe noah yangu kinyume na hapo ntaendelea kuamini yale maneno ya profesero rabishi
 
Ndugu zangu,

Nimejaribu mara kadhaa jana kumpigia mdogo wangu Tundu aliyeko Ubelgiji lakini simu yake ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kama "Kaka mkubwa".Nikamwambia Lissu amemsikia au kusoma ujumbe wa Peter Geleti? Ghafla akachukua simu huku akisema "Kaka najua unataka kujeruhi nafsi yangu kwa kunukuu matamshi yangu kwenye sakata la Barrick mwaka 2017 mmeshinda,hongereni sana" akakata simu.

Kauli yake ilinikumbusha jinsi alivyowahi kusema kwa majigambo kuwa "mtashitakiwa na hamna hata haki mchanga licha ya dhahabu" kauli yake hii iliibua vijana ambao ni wafuasi wake wakaanza kunukuu kauli hiyo huku kila kukicha wakitupa wasifu wa "wazungu" waliokuja kujadili suala la makinikia.

Tuliambiwa mengi zaidi tuliambiwa sifa na wasifu wa Chief operating officer wa Barrick ambaye aliwa kuwa mwanajeshi eti huyu jamaa ni mwanamikakati balaa.Huku vijana wengine kila siku wakifuatilia na kuripoti jinsi gani wanasheria wa Barrick wanajiandaa kufungua kesi MIGA sijui ICJ nk.

Wengi wao leo wamebaki kimya,wameumbuka hakika Tundu Lissu amejeruhiwa tena.

Hii ni JF!
Senseless
 
Wewe ni bwege tu kwa Lissu
 
Mjinga ni kama mfu (maiti)! Ƙwa akili zenu za kiKabudi na kijiwe mvutano wa Barrick na Acacia una tija kwa TZ! Mtasubiri sana! Ƙaeni mkishangilia maigizo ya wazungu kama mazuzu!
 
Kwa hiyo mikataba hiyo mibovu ilipitishwa chini ya serikali ipi?
Anaunga mkono serekali kwa mafanikio. Kinana alikuwa mmoja wa wansiasa aliyepinga sana hii mikataba mibovu
 
Kama unavyo payuka wewe mramba viatu wa chakubanga
Lissu si mwanasheria mzuri hata kidogo ana majigambo tu na anatumia nguvu nyingi kupayuka bila kutumia akili ndiyo maana kesi nyingi huwa anashindwa mahakamani.
 
Kamalizaneni kwanza na kinana na Nape na Makamba ndiyo urukie habari za Lissu
Tulia dogo
FB_IMG_1563609921944.jpeg
FB_IMG_1563550734355.jpeg
FB_IMG_1563435803021.jpeg
 
Ndugu zangu,

Nimejaribu mara kadhaa jana kumpigia mdogo wangu Tundu aliyeko Ubelgiji lakini simu yake ilipokelewa na mtu aliyejitambulisha kama "Kaka mkubwa".Nikamwambia Lissu amemsikia au kusoma ujumbe wa Peter Geleti? Ghafla akachukua simu huku akisema "Kaka najua unataka kujeruhi nafsi yangu kwa kunukuu matamshi yangu kwenye sakata la Barrick mwaka 2017 mmeshinda,hongereni sana" akakata simu.

Kauli yake ilinikumbusha jinsi alivyowahi kusema kwa majigambo kuwa "mtashitakiwa na hamna hata haki mchanga licha ya dhahabu" kauli yake hii iliibua vijana ambao ni wafuasi wake wakaanza kunukuu kauli hiyo huku kila kukicha wakitupa wasifu wa "wazungu" waliokuja kujadili suala la makinikia.

Tuliambiwa mengi zaidi tuliambiwa sifa na wasifu wa Chief operating officer wa Barrick ambaye aliwa kuwa mwanajeshi eti huyu jamaa ni mwanamikakati balaa.Huku vijana wengine kila siku wakifuatilia na kuripoti jinsi gani wanasheria wa Barrick wanajiandaa kufungua kesi MIGA sijui ICJ nk.

Wengi wao leo wamebaki kimya,wameumbuka hakika Tundu Lissu amejeruhiwa tena.

Hii ni JF!
cc
BAK Mwanahabari Huru na wanafiki woote
 
Siku mtapofahamu jinsi kahawa na chai zinavyotofautiana ndio mtafahamu ladha uipatayo kwenye ulimi ni sabanu ya hisia.
Jifunzeni kutafautisha mambo mazito na mambo ya kuchekea chekea...Swala la mikataba bado linahitaji ufumbuzi mkubwa.
 
Back
Top Bottom