Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,352
Wacha weeLissu ni chaguo letu sio yule wa kuleta wanafunzi na wasanii kuaminisha anapendwa....
Thank you God ,this man is live
Wacha weeLissu ni chaguo letu sio yule wa kuleta wanafunzi na wasanii kuaminisha anapendwa....
Daàaaaaaaaaah,hatari sana .ila jamaa elimu yao sawa na bile aise.Temba aliimba akasema huu ni mwaka wa Shetani. Naona mwingine umekuja na unaletwa na NeC na CCm
Kabisa Mkuu.Wacha wee
Thank you God ,this man is live
Ni Bossi wao yule hawataweza..,hakuna 'independence'..typical scenario showing conflict of interestShetani hana mwaka. Mikwara ya kizushi ya NEC waanze na Magufuli anayevunja sheria
Hahahaha mwaka wa shetani huu kwa maguDaàaaaaaaaaah,hatari sana .ila jamaa elimu yao sawa na bile aise.
Kwani Lisu yeye ndio anahatarisha aman
Lissu ni chaguo letu sio yule wa kuleta wanafunzi na wasanii kuaminisha anapendwa
Ndio maana anakuwa mkali na kutufokea wananchi mara nina sura mbaya mara mtajuta,
Mbona lissu kajawa furaha na amani?
Ni kwasababu anapendwa na watu bila kutumia nguvu fake.
Ni yeyeView attachment 1571684View attachment 1571685View attachment 1571686
Duh,mbona kawavua nguo NEC.aibu iliyoje kama ndo Tanzania viongozi wenye dhamana akili zipo hivi!.
Kumbe Lisu yupo sahihi,kitakachotokea basi atakae beba mzigo in TUME.
Jamani watu walishaelimika Ccm iache vimbwanga.huu mwaka wa Shetani aliyeruka kiunzi cha kifo.
Dah,aliyesema upinzan umekufa nadhani yeye ndo moyo umeshakufa.
Nipo bize na bongofreva kwenye siasa sipo.amen
Point yako nini labda?
lissu ameshachoka
badala ya kujikita kwenye kampeni anawarukia tume,kwani wamemtaja?
hiyo ni kazi ya mnyika,yupo tu ofisini anaratibu michango ya Tigo pesa
kama tume sio huru kwa nini mnashiriki uchaguzi?Tunashukuru Lisu ameweka wazi unafiki wa tume ya uchaguzi hadharani. Hii inazidi kudhihirisha kuwa tume sio huru.
Huyu jamaa yenu anawalisha matango pori tu Tena ya kwasababu anapiga kelele tu mitandaoni badala ya kufuata utaratibu nimesoma kanuni za maadili ya Uchaguzi zinasema unatakiwa kutoa taarifa ya maandishi ktk sehemu husika ndani ya masaa 72 toka ukiukwaji wa maadili ulipofanyika.sasa kulalama tu Kama hayawani bila kutekereza hayo ni kazi bure.å Ni majibu ya kauli ya Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC Dr Wilson Mahera Charles aliyoitoa jana alipokuwa anazungumza na vyombo vya habari.
å Kwamba, baadhi ya wagombea katika mikutano yao ya kampeni wanakiuka kanuni na maadili ya uchaguzi mkuu wa 2020.
å Na kwamba, tume inaweza kuwachukulia hatua za kinidhamu ikiwemo kuwazuia kuendelea na kamoeni zao.
å Tundu Lissu akiwa Mbozi leo tarehe 16/9/2020 akichanja mbuga kuendelea na mikutano yake ya kampeni, kabla ya kuwahutumia wananchi ajatumia dakika 12 kuijibu NEC juu ya kauli yake hii kupitia kwa mtendaji wake mkuu, Mkurugenzi wa Uchaguzi Dr Wilson Mahera Charles.
å Katika kujibu, Tundu Lissu akaikaripia vikali NEC kuwa ndiyo mkiukaji mkubwa wa KANUNI na MAADILI hayo ya Uchaguzi mkuu 2020.
å Akataja makosa matano (5) ya ukiukaji KANUNI na MAADILI yanayofanywa na mgombea Urais wa CCM ndg John Pombe Magufuli huku NEC wakiwa kimyaaa.
Tazama video hii
kama tume sio huru kwa nini mnashiriki uchaguzi?
Imeadikwa WAACHENI WATOTO WADOGO WAJE KWANGU.Point yako nini labda?
Ebu punguza kunifokea bhasi.
Ngoja nikupe SHULE kama Lissu anavyowapa DARASA.
IPO HIVI....!
Wanafunzi wanaohudhuria mikutano ya CCM ni kwasababu wanapewa maagizo na vitisho, wanakuja kwa kutokupenda. SAWA?
ALAFU
Wanaokuja mikutano ya upinzani hawapewi MAAGIZO wanakuja kwa RIDHAA YAO. UMENIPATA?
Huyu jamaa yenu anawalisha matango pori tu Tena ya kwasababu anapiga kelele tu mitandaoni badala ya kufuata utaratibu nimesoma kanuni za maadili ya Uchaguzi zinasema unatakiwa kutoa taarifa ya maandishi ktk sehemu husika ndani ya masaa 72 toka ukiukwaji wa maadili ulipofanyika.sasa kulalama tu Kama hayawani bila kutekereza hayo ni kazi bure.