sasa Lisu anapotoka zaidi na pia anatudanganya,
1. wagombea walio enguliwa wameenguliwa kwa kasoro na dosari ktk ujazaji wa fomu zao sasa hapo tume unataka ifanyaje? iwajazie wagombea walio shindwa kujaza fomu zao kwa usahihi?! haiwezekani lazima sheria na taratibu zifuatwe....tusilazimishe mambo yasiyo wezekana.
tuiache tume ifanye kazi zake kwa mujibu wa sheria na sio kuishinikiza.
2. Kuishinikiza tume ifanye jambo kwa matakwa yako hilo lenyewe ni ukiukwaji wa maadili.....Lisu amesikika mara kadhaa akiishinikiza Tume ya uchaguzi kiasi cha kuipandia kichwani.....hayo sio maadili ya uchaguzi.......
3. kama Lisu hana imani na tume...awasilishe malalamiko yake yasikilizwe na sio kuchonganisha wananchi na Tume au kuchochea kuvuja amani...hili ni kinyume na maadili
Tumeshuhudia Tume kupitia mkurugenzi wake wakitoa maamuzi juu ya rufaa nyingi na wagombea wengi wamerudishwa kugombea.....hiyo tu ni dalili tosha kuwa Tume inafanya kazi zake kwa uadilifu na kwa kuzingatia sheria. sasa anacho kifanya Lisu ni kuishinikiza tume iogope na ifanye kazi kwa matakwa yake Lisu...si sawa.