Uchaguzi 2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

Ni wa kati gani Rais wa nchi anakuwa sio Rais? Tatizo hapa sio ahadi, tatizo ni mtu anatukana wagombea wenzake tena kwa kuwataja kwa majina. Lissu kwenye jambo hili yupo guilty kabisa na ndio maana anajishuku. Mbona wenzake hawajapanic????

Yeye anadhani anaweza kuitisha Tume kwa kauli zake za vitisho lakini anajidanganya.
 
Hata uchaguzi ukifanyika na Magufuli na genge lake la ccm wakafanikiwa kuchakachua matokeo, lakini atakuwa amejua kabisa hajafanikiwa kuua upinzani kama yeye binafsi na wapambe wake walivyojidanganya. Na amejua kabisa wanaomkubali ni wanaccm wenzake na watanzania kadhaa, lakini sio watanzania wote.
Mpaka Sasa mwajua hamna chenu ndio maana mwaanza tembeza chili tu kwa Serikali na vyombo vyake lkn kunausemi usemwao "Dua la kuku alimpati mwewe" mtahangaika Sana lkn chamoto mtakiona tena asubuhi sana
 
Tume imepiga jiwe gizani kwa kutokitaja Chama chochote zaidi ya kutoa Onyo kwa vyama hivyo. Sasa Kama Chadema hawana makosa wanajibu nini? Si wakae kimya halafu Tume ifanye kazi.

Pili. Tundu Lisu amesoma hayo Maadili, na kusema kua wameshurutishwa kusaini ni uongo. Yeye alikua Ubelgiji kaja kuchukua Fomu na kurudisha. Angegoma Basi kusaini siku ya uteuzi.

Tatu, Maadili hayo yanasimamiwa na Kamati maalum ya Maadili Kitaifa yeye anajua na wajumbe wa hiyo Kamati ni wawakilishi kutoka Kila Chama kinachoshiriki Uchaguzi Mkuu, hivyo Mgombea anaeona Kuna shida nadhani Maadili yamemtaka kupeleka malalamiko huko kwa kamati. Sio kulalamika majukwaani.

Hivyo naishauri Chadema na vyama vingine wanaoona Kuna shida hizo Kamati zipo kuanzia ngazi ya Kata, Jimbo na Taifa na kuna Kamati ya Rufaa.
Kaka umeongea mambo ya Msingi sana!
 
Ni wa kati gani Rais wa nchi anakuwa sio Rais? Tatizo hapa sio ahadi, tatizo ni mtu anatukana wagombea wenzake tena kwa kuwataja kwa majina. Lissu kwenye jambo hili yupo guilty kabisa na ndio maana anajishuku. Mbona wenzake hawajapanic????

Yeye anadhani anaweza kuitisha Tume kwa kauli zake za vitisho lakini anajidanganya.
Nani hajapanic? Hebu kuwa na huruma na huyo 'mchunga ng'ombe' anayeeleka kibla.

Dozi ameenza toka juzi usijefanya ini lake likaanza kufeli sababu ya kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
 
Mkurugenzi alisisitiza umhimu wa kutunza amani kipindi hiki cha uchaguzi kuwa ni jukumu la wagombea wote sasa kuhamasisha kuvunja amani haiwezi kuwa ajenda ya chama chochote cha siasa na wananchi makini tukabariki tuilinde amani kwa nguvu zote maana hatuna nchi nyingine zaidi ya hii na amani ikipotea wazee, watoto, akinamama ndo watakao umia zaidi hivyo tusikubali kuvuruga amani kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache wenye nia ovu
 
Mpaka Sasa mwajua hamna chenu ndio maana mwaanza tembeza chili tu kwa Serikali na vyombo vyake lkn kunausemi usemwao "Dua la kuku alimpati mwewe" mtahangaika Sana lkn chamoto mtakiona tena asubuhi sana
Mtabadilisha sana ID mpaka mwisho wa dahari!
 
Itoshe kusoma wewe ni zwazwa mkuu, yaani kwa Hali hii ya 'kisiasa' malalamiko yapelekwa kwa akina Hashim rungwe na profesa chawa?

Ndo kamati ya maadili hiyo? Kanywe maji ukalale!
Zwazwa ni wewe ambae hujui kitu badara yake umekuwa bendera tu.sasa ulitaka yaende wapi wakati Kuna Sheria na kanuni za uchaguzi
 
Ni wa kati gani Rais wa nchi anakuwa sio Rais? Tatizo hapa sio ahadi, tatizo ni mtu anatukana wagombea wenzake tena kwa kuwataja kwa majina. Lissu kwenye jambo hili yupo guilty kabisa na ndio maana anajishuku. Mbona wenzake hawajapanic????

Yeye anadhani anaweza kuitisha Tume kwa kauli zake za vitisho lakini anajidanganya.

Mbona kwenye maendeleo anatajwa mtu tena kwa jina muda wote, iweje akitajwa upande wa pili wa shilingi hamtaki atajwe kwa jina? Haitishi tume, bali ameanika unafiki wa hiyo tume isiyo huru ya uchaguzi. Nilitarajia ungesema asimtaje Magufuli kwa jina,lakini ukiri mambo aliyoyotaja kuwa tume inafanya kwa double standard. Kinyume na hapo haya maoni yako ni mambo ya mahaba niue.
 
Mkurugenzi alisisitiza umhimu wa kutunza amani kipindi hiki cha uchaguzi kuwa ni jukumu la wagombea wote sasa kuhamasisha kuvunja amani haiwezi kuwa ajenda ya chama chochote cha siasa na wananchi makini tukabariki tuilinde amani kwa nguvu zote maana hatuna nchi nyingine zaidi ya hii na amani ikipotea wazee, watoto, akinamama ndo watakao umia zaidi hivyo tusikubali kuvuruga amani kwa maslahi ya kikundi cha watu wachache wenye nia ovu
Hawa jamaa wasikukimbie wamekwisha gundua kuwa Awana chao ndio maana wameanza kutafuta chokochoko.wanatakiwa waelewe kuwa hii no Tz na sio Rwanda Wala burundi.wao wanapoteza muda tu kumsindikiza JPM ikulu
 
Zwazwa ni wewe ambae hujui kitu badara yake umekuwa bendera tu.sasa ulitaka yaende wapi wakati Kuna Sheria na kanuni za uchaguzi
Kuwafungisha shule watoto wa shule na kwenda kwenye kampeni ndio kufuata Sheria?
Wewe Ni kiazi kibichi na Bora ushtuke mapema sidhani Kama wiki ijayo mtapewa 'allowance' hapo koridoni Lumumba
 
Mpaka Sasa mwajua hamna chenu ndio maana mwaanza tembeza chili tu kwa Serikali na vyombo vyake lkn kunausemi usemwao "Dua la kuku alimpati mwewe" mtahangaika Sana lkn chamoto mtakiona tena asubuhi sana

Sio kwa kura boss, kwa kura halali mziki ni tofauti kabisa.
 
Bahati mbaya sana wewe na huyo Mhombea wako hamjasoma na kujielimisha kuhusu Maadili ya Uchaguzi.
Kama kweli Lissu ana ushahidi wa ukiukwaji wa Maadili hayo. Kanuni inamuelekeza nini juu ya hatua stahiki zinazopaswa kuchukuliwa?
Sasa Mkumbushe (Bahati nzuri Tume iko wazi sana, majarida mbalimbali ya Maadili na kila kitu kuhusu Uchaguzi yamegawiwa hata kwetu sisi wananchi)
Akasome kitabu cha Maadili ya Uchaguzi ukurasa wa 9,10 na 11 na atafute aje hoja zenye mashiko!
 
Itoshe kusoma wewe ni zwazwa mkuu, yaani kwa Hali hii ya 'kisiasa' malalamiko yapelekwa kwa akina Hashim rungwe na profesa chawa?

Ndo kamati ya maadili hiyo? Kanywe maji ukalale!
Unawajua wajumbe wa hizo kamati?
Ngoja nikujuze kitu 1. Vyama vya siasa viliukubali huo utaratibu wa kuwasilisha Malalamiko ya ukiukwaji wa Maadili. 2. Wajumbe wa hizo kamati ji wawakilishi kutoka vyama vyote vya siasa...sioni kama kuna shida
 
Ni vema wagombea wakaiacha Tume itekeleze majukumu yake kwa mujibu wa katiba na sheria bila kuitishia maana kuendelea kuwatishia ni kukiuka katiba na kuondoa uhuru wa Tume ambao muda wote tunataka Tume huru
 
Duh,mbona kawavua nguo NEC.aibu iliyoje kama ndo Tanzania viongozi wenye dhamana akili zipo hivi!.

Kumbe Lisu yupo sahihi,kitakachotokea basi atakae beba mzigo in TUME.

Jamani watu walishaelimika Ccm iache vimbwanga.huu mwaka wa Shetani aliyeruka kiunzi cha kifo.

Dah,aliyesema upinzan umekufa nadhani yeye ndo moyo umeshakufa.

Nipo bize na bongofreva kwenye siasa sipo.amen
ACHENI KUIPAKAZA MATOPE TUME,
KWA ULOFA WENU. TENA WATANZANIA TUKO MACHO KWELI KWELI NA HUU MPASUKO MNAOTAKA KUTULETEA!
LISU AACHE UONGO NA ANADI SERA SIO KULETA CHUKI. MTASAMBARATISHWA NINYI NA HUYO BEBERU WENU!
NA TANZANIA ITABAKI IMARA
 
Huyu jamaa yenu anawalisha matango pori tu Tena ya kwasababu anapiga kelele tu mitandaoni badala ya kufuata utaratibu nimesoma kanuni za maadili ya Uchaguzi zinasema unatakiwa kutoa taarifa ya maandishi ktk sehemu husika ndani ya masaa 72 toka ukiukwaji wa maadili ulipofanyika.sasa kulalama tu Kama hayawani bila kutekereza hayo ni kazi bure.
Umeshawasiliana na Tume kama hakuna malalamiko. Mwaka huu jua la utosi sijui kama mnaliona. Jamaa anatumia gari za serikali kawa kinyonga kuzibadilisha rangi tu.
 
Halafu game ni dakika 90 unaacha kucheza mpira unamtisha refa ukifungwa kihalali je utamlaumu refa kuwa hakukupendela gangamala kunadi sera baba badala ya kulialia muda wote
 
Back
Top Bottom