Tundu Lissu afuta jasho kwa kutumia bendera ya Taifa uwanjani Ivory Cost; ni Mtanzania anayevuja jasho kwa uzalendo mkubwa

Kikwete alitawazwa wakati ule halafu akasema,"Watamzania kwa nini hamtaki kuzitumia hizi nembo za taifa: bendera ya taifa mbona hatuioni mtaani?"
Baada ya siku chache,nikamuona mlinzi anatumia hankerchief,bendera ya taifa anapenga makamasi.
Nikamwambia,"Sikiliza wewe, hakuna mtu hapa atapenga makamasi kwa kutumia bendera ya taifa!"
 
It Disrespectful. Ni kwamba ameikosea heshima Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakati wakiomba Katiba mpya, wasisahau kuweka sheria itakayokataza kutumia Bendera kufutia jasho.

Bendera iheshimiwe.
 
Huyo chiba kaleta gundu leo😎
 
It Disrespectful. Ni kwamba ameikosea heshima Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wakati wakiomba Katiba mpya, wasisahau kuweka sheria itakayokataza kutumia Bendera kufutia jasho.

Bendera iheshimiwe.
Taja kifungu utusaidie wengine.
 
Kwahy mmesema anafutia jasho kwa bendera ya nchi halafu mnaona ni uzalendo.? Kweli ukiwa chadema ni lazima uwe punguani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…