Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,278
- 13,703
Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Samia Suluhu Hassan.
NB: Nunueni ila tafuteni nchi ya kuzivalia.
NB: Nunueni ila tafuteni nchi ya kuzivalia.