Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na polisi

Nasikia sasa hv wanampango wa kufuta magazeti yote yabekie Uhuru, Mzalendo, Habari leo kwa hiyo tujiandae kwa hilo siku hz kuwa mzalendo ni kumsifia mkulu hata akiharisha.sasa hv tunataka tuache magazeti ya kizalendo tuuuu.
 
Ukweli ni hivi serekali na wanasheria wake Ramda msitumie katiba yetu mama ndio mtamshinda Lissu kwa hoja zake lakini kama mpo hapo kuitimikia katiba basi jibuni hoja zake na sio vyengini mana huko mahakamani katiba itamuachia huru tu naomba tusiwe na jazba kwenye mambo nyeti kama haya coz mwisho wa siku tanataka tanzania iliyo piga hatua kwenye maendeleo ya kweli tuwe na maono ya tanzania mpya na sio ya chuki visasi kukomoana naomba sana tuelimeshane ndio tutaendelea coz unaposema unafata democrasia bas umekubali siasa za hoja na kujibiwa kwa kunguvu ya hoja sio kuona zinatumika nguvu kumbwa kumbe ukaweza kujibu kwa hoja yenye nguvu tu mambo ya kaenda sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tabu kama sheria inafatwa jo endelea ilivuo sasa, na pia hakuna haja ya watu kulalamika tuwaachie polisi wafanye kazi yao. Maneno mengi hayasaidii kulaumu laumu huku watu mnaowashabikia wanafikiri kiki zenu ndio zitawakomboa na kuzidi kuvunja sheria kila mara.

Awamu hii mtanyooka tu kwa kujiheshimu na kuogopa sheria kwa kutii.
kazi ya kwanza kabisa baada ya Sisi kuingia ikulu 2020 ni kumpeleka Magufuli Gerezani kwa makosa ya kuvunja katiba na sheria za nchi. chekeleeni hivi sasa lakini mtambue kiama kinakuja.pumbavu sana.
 
Duh 24/7 mbona unanipendelea kunipaisha hivyo... ha ha haaaaaa

Ukumbuke kupelekea watoto yatima hizo buku 7 unazopokea kwa niaba ya Cocochanel.
Mkuu kwa nn hupendi kushirikisha medulla oblongata yako hata kidogo tu uutendee haki ubinadamu wako?????

Wakijampaa ,unasifia...wakinya wasifia....wakikohoa wasifia.....wewe ni binadamu hai kweli???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tabu kama sheria inafatwa jo endelea ilivuo sasa, na pia hakuna haja ya watu kulalamika tuwaachie polisi wafanye kazi yao. Maneno mengi hayasaidii kulaumu laumu huku watu mnaowashabikia wanafikiri kiki zenu ndio zitawakomboa na kuzidi kuvunja sheria kila mara.

Awamu hii mtanyooka tu kwa kujiheshimu na kuogopa sheria kwa kutii.
Naona umemaliza kunya nenda ukatawaze!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom