ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 8,681
- 16,289
Ni suala la muda tu,we subiri.haiji sasa
Mbaya zaidi watu mnaosema kua HAIJI,ni watu ambao kupambanua mambo nakuona kua upinzani wasasa ni mkali,fikiria pamoja na shutuma za wizi wa kura jamaa alipata milioni 6 na huyu ambaye hakutegemea akapata 8,ila wewe huoni unalala unaamini hakuna kitu kama hicho,baki na akili hizohizo za akina Wasila ambao hawakutegemea kuondolewa na upinzani tena kamanda mdada.
Sent using Jamii Forums mobile app