Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na polisi

Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na polisi

Unashangaa nini hapo kwani wewe unafikiri serikali inaleta maendeleo kwa mtu mmoja mmoja bila kufanyakazi?? Hata vitabu vya dini vinasema na asijefanyakazi na asile!! Sasa wewe acha kufanyakazi serikali itakuletea maendeleo. Mimi nasema hapana... you have to work hard mkuu!!
Unajuaje kama hafanyi Kazi!?? Na tunaamini vp kama Wewe unafanya Kazi na hauishi kwa Dada yako!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nafikiri nchi za magharibi zinamuunga mkono bwana yule...
lisu ni mzalendo kwa rasilimali za nchi hii kuliko bwana yule na maccm yote na wazungu wanalijua hili....
Unaongelea wazungu wa unga?
 
Baba jesca atar sana uyu jamaa utazani sio mtanzania, mbona anaroo mbayaaaaa, ya chuki na visas mbona watangulz wake hawakua ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom