Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,148
- 33,026
Ndio.Ulimuona akiramba hiyo miguu?...
Ndio.Ulimuona akiramba hiyo miguu?...
Mtetezi wa wanyonge rais wa masikini
Wapi nimesema hiyo "fahari" yako?Wewe unaona fahari gani taifa lako kuwa la kutegemea misaada?
Unashangaa nini hapo kwani wewe unafikiri serikali inaleta maendeleo kwa mtu mmoja mmoja bila kufanyakazi?? Hata vitabu vya dini vinasema na asijefanyakazi na asile!! Sasa wewe acha kufanyakazi serikali itakuletea maendeleo. Mimi nasema hapana... you have to work hard mkuu!!Jitafakali unapoandika kitu kinachosomwa na maelfu ya watu.
Kumbukumbu ya hizi post zako zatasomwa na watu kwa miaka kadhaa ijayo.....be smart na weka historia yako vizuri
Wakati huo nguruwe wote wa Lumumba mkiwalamba wazungu matundu ya Kunyea kuomba misaada isikatwe. Eti DONNOR COUNTRYHa ha ha, sasa mbona Lisu (mzalendo) aliwaramba miguu hao wazungu na kuwasihi wakate misaada?
weka ushahidi we kilazaHa ha ha, sasa mbona Lisu (mzalendo) aliwaramba miguu hao wazungu na kuwasihi wakate misaada?
Wapi nimesema hiyo "fahari" yako?
Hizi lugha za bavicha sio ngeni kabisa. Hebu jaribu kufanya ubunifu zaidi utaeleweka vizuri.Wakati huo nguruwe wote wa Lumumba mkiwalamba wazungu matundu ya Kunyea kuomba misaada isikatwe. Eti DONNOR COUNTRY
sent from my BBC using JamiiForums mobile app
Mbona sikioni hicho kivuli?Unakimbia kivuli chako?
samahan sana mkuu, wewe ni shoga?Umevurugwa wewe ulikuwa umezoea madili sisi wenzio tunapiga kazi na tunapata pesa ya kutosha kuendesha maisha. Wewe si ulizoea maisha ya mkato basi endelea kusoma namba!
Polisi kanda maalum ya Dar es salaam walikwenda nyumbani kwa Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu kufanya upekuzi baada ya Tundu kushikiliwa toka jana.
Baada ya kurudishwa kituo kikuu cha Polisi kati Dar es salaam kilichokua kinasubiriwa ni kama Tundu Lissu ataachiwa kwa dhamana ambapo mpaka jioni hii siku ikielekea kuisha CHADEMA imeeleza walipofikia.
Taarifa iliyotolewa na CHADEMA leo imesema >>> “Jitihada za kuhakikisha Lissu anapata haki yake ya kisheria ya dhamana leo zimeshindikana hivyo bado yuko chini ya Polisi kituo kikuu cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam”
“Tunasubiri utaratibu mwingine kesho wa ama kupata dhamana akiwa mikononi mwa polisi au kufikishwa Mahakamani” imeeleza taarifa ya CHADEMA
Chanzo: Millard Ayo
Akili yako haiko sawanafikiri nchi za magharibi zinamuunga mkono bwana yule...
lisu ni mzalendo kwa rasilimali za nchi hii kuliko bwana yule na maccm yote na wazungu wanalijua hili....
Ingekuwa hivyo makaburu wa afrika ya kusini wangekimbia wakati wa Mandela lakini WASTAARABU wanaonekana kwa sura n.a. matendo Yao. Malimbukeni ni kuyaacha kama yalivyo. Muungwana ushinde UBAYA kwa wema uone mbaya wako atakavyotaabika.Duuuh! ni kazi,chama pinzani kikijakushika dola,baadhi ya watawala watakimbilia nje ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mtu asiye fanya kazi hivi like kin a cha chini cha mshahara kinamtosha mtanzania kweli? Jamani heavy pigeon hasabu mapato na matuminzi. Nafikiri wewe ni mnufaika kwenye serikali kama Bashite wakati graduate anapata laki sita kabla ya makato kwa mwezi wewe inatoa mamilioni ya kugawa. Endelea kufaidi keki ya Taifa lakini usiwakejeli wasiyo faidi kula kimya kimya kwani hata wao wangependa kuishi kama wewe lakini hizi fursa ni chacheMasikini ni wewe unayesubiri serikali ikuletee maendeleo. Badili piga kazi mkuu acha udaku haulipi
Kazi ipi ikiwa miaka miwili na nusu ya utawala amekalia ajira kwa sababu hana uwezo wa kuzitengeneza. Utawala unaoamini eti mtu akiwa na brenda ya juisi tayari kiwanda ni kitu gani kama si kituko!!!Masikini ni wewe unayesubiri serikali ikuletee maendeleo. Badili piga kazi mkuu acha udaku haulipi
Mkuu tuheshimiane kama umeshindwa kujibu hoja usinitukane...! Nakuonya!
nafikiri nchi za magharibi zinamuunga mkono bwana yule...
lisu ni mzalendo kwa rasilimali za nchi hii kuliko bwana yule na maccm yote na wazungu wanalijua hili....