Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na polisi

Ulimuona akiramba hiyo miguu??Miaka 55 chini ya CCM Taifa ni masikini kupindukia.Mijitu isiyo na akili inadhani Lissu ndiyo sababu.

Watawala majizi ndiyo yanayopigiwa makofi.

wanakubali kutumiwa na mitawala mijizi,mibovu,kupita kiasi kwa ajili ya kushibisha tumbo.

Siku mijitu kama hii ikipata akili ndipo tutapata maendeleo.

Na alaaniwe yeyote aliyechagua hiki Kituko kututawala
Chadema itaifanya nchi iwe tajiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashangaa nini hapo kwani wewe unafikiri serikali inaleta maendeleo kwa mtu mmoja mmoja bila kufanyakazi?? Hata vitabu vya dini vinasema na asijefanyakazi na asile!! Sasa wewe acha kufanyakazi serikali itakuletea maendeleo. Mimi nasema hapana... you have to work hard mkuu!!

Shughulisha akili yako..... Unajifedhehesha

Mada inasema:-
Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na polisi
 
Umevurugwa wewe ulikuwa umezoea madili sisi wenzio tunapiga kazi na tunapata pesa ya kutosha kuendesha maisha. Wewe si ulizoea maisha ya mkato basi endelea kusoma namba!
Mmekuwa kama mmemezeshwa cd! Sijui kwanini awamu hii kiwango cha ujinga kinaongezeka kwa kasi sana!
 
Shughulisha akili yako..... Unajifedhehesha

Mada inasema:-
Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na polisi
Wewe hayakuhusu fuatilia nimem quote nani kwenye hiyo comment yangu ndo utajua kwanini nimeandika hivyo!! Unadandia bodaboda kwa mbele utaumia!!
 
Ha ha ha, sasa mbona Lisu (mzalendo) aliwaramba miguu hao wazungu na kuwasihi wakate misaada?
Unaongea kitu unachokijua kiukweli au kusikia ktk vijiwe vya bange? hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kuandika upuuzi kama huu? jihurumie mkuu na jitafakari wewe na akili zako naona haziko sawa.
 
Lissu kwa Mara ya kwanza nilimfahamu akiwa LHRC. Kifupi amebobea kwenye harakati za ukombozi, kuna slogans Yao inasema "Ukiwa mkweli usiwe muoga".
 
Bahati nzuri chama chenyewe pinzani hakipo. kuna makundi ya wapiga dili tu.
Bora wewe unasema wapiga dili,Gadhaf alisema wale waliokua wanataka kumtoa madarakani kua ni vipanya tu na mwishowe wakifanikiwa,kiufupi watawaka wasasa watakuja kua wapinzani,ni suala la muda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu uvunjaji wa sheria unaofanywa na jeshi la polis haukubaliki kamwe. polis walipaswa kumfikisha mahakamani jana.....
 
Back
Top Bottom