Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na polisi

Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na polisi

Umevurugwa wewe ulikuwa umezoea madili sisi wenzio tunapiga kazi na tunapata pesa ya kutosha kuendesha maisha. Wewe si ulizoea maisha ya mkato basi endelea kusoma namba!

Mnapiga kazi gani zaidi ya madeal yenu na Mwenyekiti wenu wa Chama Cha Makinikia??Ushahidi ni Yule aliyepewa ulaji pale WF kajipigia Tzs.18 Bilioni kilaini kabisa.Sijui kwa kazi IPI zaidi ya ulafi,ubaadhirifu,wizi wa raslimali zetu,kujilimbikizia mali ,visasi,chuki na ubaguzi ndiyo mnachojua.Mijitu msiyo na haya wizi ndiyo Mungu wenu.
 
Nchi imekua ya hovyo sana, inaendeshwa hovyo hovyo. Huyu Yohana anavuruga nchi, anafarakanisha taifa, anajenga chuki kwenye jamii. Wananchi wana manung'uniko, hawana furaha.

Watanzania
tuna bahati mbaya sana.
Watanzania wana chuki sn,watumishi wapo wapo tu.

Na hii ni kutokana na jeuri ya kuwa tume za uchaguzi na katiba haziwezi kuwaondoa ktk madaraka.

Very shit.

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo kutafuta ushahidi wa aliyevujisha siri za sirikali huyu Lissu wamemshikilia ili awatajie aliyempa doc za sirikali
 
Hakuna tabu kama sheria inafatwa jo endelea ilivuo sasa, na pia hakuna haja ya watu kulalamika tuwaachie polisi wafanye kazi yao. Maneno mengi hayasaidii kulaumu laumu huku watu mnaowashabikia wanafikiri kiki zenu ndio zitawakomboa na kuzidi kuvunja sheria kila mara.

Awamu hii mtanyooka tu kwa kujiheshimu na kuogopa sheria kwa kutii.
 
Usipokuwa tajiri awamu hii....sahau mkuu maana buku saba unazitendea haki..24/7 hrs uko mitandaoni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapiga kazi gani zaidi ya madeal yenu na Mwenyekiti wenu wa Chama Cha Makinikia??Ushahidi ni Yule aliyepewa ulaji pale WF kajipigia Tzs.18 Bilioni kilaini kabisa.Sijui kwa kazi IPI zaidi ya ulafi,ubaadhirifu,wizi wa raslimali zetu,kujilimbikizia mali ,visasi,chuki na ubaguzi ndiyo mnachojua.Mijitu msiyo na haya wizi ndiyo Mungu wenu.

Kila mtu na wakati wake wewe wakati wako umeshapita.... endelea kusoma namba za Kirumi!
 
Kuna baadhi ya watu wamekosa tunguri na vyungu tu kukamilisha uchawi wao.
 
Back
Top Bottom