Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,010
- 2,604
Hana alichofanya cha maana. Hizo ndege tu alinunua kwa maslah ya kikundi chake na wenzakeRais hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie
”ndugu wananchi, mlinipa dhamana ya kuwatumikia, katika KAZI mliyonituma nimefanya kadha wa kadha, kama mmeridhika naombeni mnipe tena ridhaa” sio kama anavyofanya “makasiriko” na “kutufokea”!
Basi Mjomba wamekuelewa siku nyingine usitukane. Ila hii inakera sana wallah natamani wabunge wote wa nyinyiem asipite hata mmoja.Acha kutufokea. Acha jazba. Fao la kujitoa lipo? Unajua April 10, 2018 ilikuwa ndio mwisho wa watu kufikiriwa kupewa fedha NSSF? Manyonya damu wakubwa nyie. Watu wamekufa wanafatilia mafao yao ambayo yangewasaidia wapate matibabu au kutatua matatizo yao mengine. Mtalaaniwe mufe vifo vibaya ku.mamayo zenu.
Hizo fedha hazipo zilishapigwa kitambo,wanaokoteza michango ndipo wawalipe kwa mafungu.Ndiyo maana waliunganisha mifuko bila kuwashirikisha wenye mifuko(wafanyakazi) wa umma na binafsi.Kila mtu apewe chake mapema,hakuna kusubirushana hadi uzeeni.
Sikujua makao makuu ya Usalama Oysterbay yamejengwa na hela za NSSF...halafu ofisi yenyewe inaenda kuhamia Dodoma!zimetumika kujenga UDOM ...zimejenga jengo la Usalama wa Taifa OysterBay Dar. ...Machinga Complex Ilala Dar na nyumba za polisi Kurasini Dar... Daraja la Mwalimu Nyerere Kigamboni.
Ndio maana mimi nasemaa;
Mtumishi wa umma Tanzania atakae mpigia kura Magufuli, ni ana matatizo kichwani!
Unaanzaje kupigia kura mtu ambaye unauhakika kabisa kuwa anapanga mipango kukuua? Utaahira gani huu?
Kama hili la mafao ya wafanyakazi kwenye mifuko ya hifadhii ya jamii kukopwa na kutorejeshwa na serikali huoni? Hujasikia? Huna ndugu kastaafu na anasubiria mafao? Huna rafiki aliyeachishwa kazi lkn NSSF hawamlipi hata lile fao la kukosa ajira?Ni kweli kabisa kazi ninayo maana mimi sio zumbukuku kama baadhi ya members wanaoamini kila kitu bila kutafuta uthibitisho.
kabisa mkuu njia kuu ya mental liberation wale wote waliopata division four warudi kusoma tena kwa GPA za juu kabisa,wakirudi watajua haki zaoTatizo la wafanykazi wa Tanzania ni midabwada, watu hopeless and stupid ! Kuna wale ambao wana ka upenyo ka kupata bakishishi/marupurupu kazini, haya ya mifuko hayawahusu, "wanafidia" huku wanakochota. Kundi la walimu (siyo wote tafadhali, ila wengi wao wako hivyo) ni kundi la academic failures ambao walipata Div 4 na hivyo kujiona "afadhali" wanapata hata hicho kidogo! WAMEGAWANYIKA katika makundi ya imani/itifaki mbali mbali. Mapolisi/wanajeshi ni academic failures, wao wanaona kama wamekuwa favoured na hiyo wanashukuru hata kidogo hicho wanachokipata, wanapata virushwa rushwa, wanaona ahueni. Kuwaunganisha siyo kazi rahisi! Wanahitaji mental liberation!
Comrade, hii dunia imekua na waongeaji wengi sana wako radhi kusema chochote ili wapate wanachokihitaji. Tutaamini vipi maneno ya Lissu bila kupata uthibitisho?Kama hili la mafao ya wafanyakazi kwenye mifuko ya hifadhii ya jamii kukopwa na kutorejeshwa na serikali huoni? Hujasikia? Huna ndugu kastaafu na anasubiria mafao? Huna rafiki aliyeachishwa kazi lkn NSSF hawamlipi hata lile fao la kukosa ajira?
Vv
Tuongee kipi sasa wakati he has nailed it??Nilitoa hii mada MIFUKO JA JAMII watu wakanitolea povu leo MZEE BABA kafafanua vizuli siwaoni wale wajanja wakujibu kila mada ongeeni chochote