Uchaguzi 2020 Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi

Hili ndilo jambo muhimu linalowaumiza watumishi.
Rais Magufuli hajawahi kujali maslahi ya watumishi zaidi ya kuyakanyaga maslahi yao.
Yeye ndiye muuaji wa wastaafu Tanzania
 
Rais hapaswi “kutofokea” inatakiwa arudi kwetu kwa upole na heshima atuambie

”ndugu wananchi, mlinipa dhamana ya kuwatumikia, katika KAZI mliyonituma nimefanya kadha wa kadha, kama mmeridhika naombeni mnipe tena ridhaa” sio kama anavyofanya “makasiriko” na “kutufokea”!
Hana alichofanya cha maana. Hizo ndege tu alinunua kwa maslah ya kikundi chake na wenzake
 
Huwa nashangaa sana wajinga wakimsifu Magufuli eti ni Mzalendo. Kuna mwalimu hapa shule jirani namfahamu amestaafu toka mwaka jana hajalipwa chochote mpaka leo na amegoma kuondoka ktk nyumba ya serikali. Inatia huruma sana hawa awamu ya tano ni mafisadi kuliko awamu zoooote.
 
Acha kutufokea. Acha jazba. Fao la kujitoa lipo? Unajua April 10, 2018 ilikuwa ndio mwisho wa watu kufikiriwa kupewa fedha NSSF? Manyonya damu wakubwa nyie. Watu wamekufa wanafatilia mafao yao ambayo yangewasaidia wapate matibabu au kutatua matatizo yao mengine. Mtalaaniwe mufe vifo vibaya ku.mamayo zenu.
Basi Mjomba wamekuelewa siku nyingine usitukane. Ila hii inakera sana wallah natamani wabunge wote wa nyinyiem asipite hata mmoja.
 
Kila mtu apewe chake mapema,hakuna kusubirushana hadi uzeeni.
Hizo fedha hazipo zilishapigwa kitambo,wanaokoteza michango ndipo wawalipe kwa mafungu.Ndiyo maana waliunganisha mifuko bila kuwashirikisha wenye mifuko(wafanyakazi) wa umma na binafsi.
Kiukweli hii mifuko ya hifadhi ya jamii ilishafilisika.
 
zimetumika kujenga UDOM ...zimejenga jengo la Usalama wa Taifa OysterBay Dar. ...Machinga Complex Ilala Dar na nyumba za polisi Kurasini Dar... Daraja la Mwalimu Nyerere Kigamboni.
Sikujua makao makuu ya Usalama Oysterbay yamejengwa na hela za NSSF...halafu ofisi yenyewe inaenda kuhamia Dodoma!

UDOM.... Magorofa ya polisi Kurasini.... kumbe ni hela za NSSF.

Mpasha habari na mchambuzi wa masuala kama haya nchi hii huwa ni Tundu Lissu, kidogo Zitto Kabwe tu!
 
siku moja nenda mapema nssf ilala yaan Kuna watu mpka wame giving up.

Yaan sheria zimekua sheria yaani.
Ni kuisoma namba Kama ule wimbo wa chama...yaan wanyonge wa nchi hii wanateseka Sana na hii nssf.

Bora nili lisemwee wazi wazi ila ukiwa mkweli kina ndugai na wanazi wa ccm kina kibajaji na kina polepole, Mzee makamba na wengine watakuona sio mzalendo.

Tunaomba kweny HILI mtujibu KWA hoja tumechoka KILA kitu kusingizia anatumiwa na mabeberu.
 
Ni kweli kabisa kazi ninayo maana mimi sio zumbukuku kama baadhi ya members wanaoamini kila kitu bila kutafuta uthibitisho.
Kama hili la mafao ya wafanyakazi kwenye mifuko ya hifadhii ya jamii kukopwa na kutorejeshwa na serikali huoni? Hujasikia? Huna ndugu kastaafu na anasubiria mafao? Huna rafiki aliyeachishwa kazi lkn NSSF hawamlipi hata lile fao la kukosa ajira?

Vv
 
Tatizo la wafanykazi wa Tanzania ni midabwada, watu hopeless and stupid ! Kuna wale ambao wana ka upenyo ka kupata bakishishi/marupurupu kazini, haya ya mifuko hayawahusu, "wanafidia" huku wanakochota. Kundi la walimu (siyo wote tafadhali, ila wengi wao wako hivyo) ni kundi la academic failures ambao walipata Div 4 na hivyo kujiona "afadhali" wanapata hata hicho kidogo! WAMEGAWANYIKA katika makundi ya imani/itifaki mbali mbali. Mapolisi/wanajeshi ni academic failures, wao wanaona kama wamekuwa favoured na hiyo wanashukuru hata kidogo hicho wanachokipata, wanapata virushwa rushwa, wanaona ahueni. Kuwaunganisha siyo kazi rahisi! Wanahitaji mental liberation!
kabisa mkuu njia kuu ya mental liberation wale wote waliopata division four warudi kusoma tena kwa GPA za juu kabisa,wakirudi watajua haki zao
 
Haa haa haa. Sasa Sisi Minyororo sisi ya nini?? Ila Kwa kweli hili la mifuko ya jamii ni doa kubwa Sana Kwa Serikali. Mashirika haya hasa NSSF limebaki kubabaisha wachangiaji wake. Njoo kesho nyiiiiingi. Yanatesa Sana wafanyakazi.
 
Kama hili la mafao ya wafanyakazi kwenye mifuko ya hifadhii ya jamii kukopwa na kutorejeshwa na serikali huoni? Hujasikia? Huna ndugu kastaafu na anasubiria mafao? Huna rafiki aliyeachishwa kazi lkn NSSF hawamlipi hata lile fao la kukosa ajira?

Vv
Comrade, hii dunia imekua na waongeaji wengi sana wako radhi kusema chochote ili wapate wanachokihitaji. Tutaamini vipi maneno ya Lissu bila kupata uthibitisho?
 
Chadema hawajawahi pata mgombea mkali kama mbweha aliepoteza watoto,mgombea bora kwa hoja,kuudhi mpinzani wake na kuchokonoa mambo kama Lisu, hoja zake ni nzito mno akili ndogo haiwezi kujibu.
 
90 Reactions
Reply
Back
Top Bottom