maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,315
- 1,785
Wastaafu wamebaki kuzungushwa, kuna mtumishi amestaafu toka Disemba mwaka jana, mwajiri wake hata nauli ya kurudi kwao upareni hajalimpa, majuzi amefuatilia mafao/ pensheni psssf anaambiwa faili lake lilisahaulika kwa hiyo halijashughulikia hivyo arudi baada ya wiki mbili. Cha kushangaza eti anaipenda CCM, anadai wapinzani wanatumiwa na mabeberu.
Nikamuuliza mabeberu ya rangi gani hakunijibu.
Nikamuuliza mabeberu ya rangi gani hakunijibu.