Uchaguzi 2020 Tundu Lissu achambua mifuko ya Jamii na fao la kujitoa, CCM jibuni hoja hizi

MUULIZE DUNIANI KOTE KAZI KUU NNE ZA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII NI. NINI? WASIPOWEKEZA HIZO PESA ZA KUWALIPA WAHUSIKA "WITH INTEREST" ZITATOKA WAPI?

Queen Esther
Dunia ipi wewe ulienda?

Be smart upstairs, acha kutetea hila na kuminya Haki za watu

Mtu unapomlipa 33% ya mshahara..na bado Hana bima ya afya., ataweza kuishi Hadi umri wa kustaafu ufike? Let's say amefukuzwa kazi akiwa na 36 years. Hiyo 33% ndio italipa Kodi ya Nyumba na kutosha chakula na mavazi?

Kwa Nini mtu asipewe hela zake ili akajiajiri. Unatetea hila na uovu.

Watanzania wanatakiwa kuajiriwa tu, kuwa watumwa wa Mabeberu wanaokuja kuwekeza? Watanzania hawawezi kuwekeza popote...! Nssf inawanyima Watanzania Pesa zao..ili watu washindwe kujiajiri...wawe watumwa tyu

Wewe kweli kabisa sio Mzalendo au umepotoka mno. Ondoa akili huko.
 
Kwanza Hakuna Mfanyakazi analipwa fao with interest...hujui chochote. Inaonekana kabisa huna akiba kwenye mfuko wowote.
 
Mradi wa Machinga Complex ulikuwa na lengo zuri ila Luba iliingia shubiri kwakua waliopewa nafasi hawakuwa wafanyabiashara wadogo wadogo bali watu waliotaka kujichukulia maeneo na kuyakodisha , jengo likabakia kudoda.

Nashauri serikali ibadili matumizi ya Machinga Complex.
 
Tushamaliza za huko, sasa tunachungulia account ya kila mtu, ukiwa na ma-billiom hata kama ni ya halali, wewe ni muhujumi uchumi tunazichukua zote...




Cc: mahondaw
 
Huu ni msumari wa moto.
CCM hawatajibu lolote la maana, sana sana watasema kuweni wazalendo kwa nchi yenu.
Ukoo wa panya!
Mm huwa najiuliza Sana wanawezaje kutumia fedha za watumishi bila ridhaa yao?vyama vya wafanyakazi viko wapi?vinafanya nn kuikemea kutumia fedha za watumishi.Ndo maana wameiunganisha mifuko hiyo ili waweze kuzichota kiurahisi.Mungu anawaona.Mwisho wa ushetani u karibu.watu wa usalama wa taifa wamepandikizwa ndani ya vyama vya wafanyakazi ili kuzima uzandiki.walimu ambao ni wengi hawalalamiki wakati nao mahela yao yanapigwa kiulaini tu na wajanja.shameful.
 
Back
Top Bottom