James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,205
- 1,509
Kuna watu wakurupukaji sana!
Bro ungekuwa mtu wa tamaa sasa hivi ungejifanya na wewe ni nabii kwa kuona mbali! Usishangae 2025 watia nia wakakufuata uwapigie ramli. So what next, Are you gonna open your own church like Gwajima and see the future and start making big bucks?!! 😂
mkewe ni mtu wa Kanda maalum unategemea nini