Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,705
- 5,316
Ataendesha harakati zake kwenye wheelchair
Kwenye hiyo wheelchair utakalishwa wewe Lissu ni mzima kabisa atakuwa kama awali tofauti tu ni hayo makovu ya risasi...
Ataendesha harakati zake kwenye wheelchair
Hao ndiyo CCM; believe this!!Imagine this comment is from a human being
Naona unaandika kwa furaha Kweli Kweli,nyie watu ni mashetani!Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Bado unaamini maneno yako haya Mkuu?Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Bado unaamini maneno yako haya Mkuu?
Wow!
I wrote this almost 3 years ago!
So prescient....
JokaKuu unaikumbuka hii mada?
Nilichokisema hapa ndicho hichi kinachotokea sasa hivi.
Nakumbuka wewe ulinishambulia kwa sababu nilitumia mfano wa Frankestein.....
Mimi maneno yangu ya wakati huo sasa yanatokea kwa vitendo....
Hivi sasa hivi utamdhibiti vipi Lissu?
Japo watu wengi wanafikiri Lisu atarudi na moto ule au zaidi, lkn mm nakuhakikishia Lisu akirudi atakuwa kama kina Ulimboka!

Zile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu ya tano.
Mara nyingi kama si zote hizo kamata kamata zilitokea baada ya yeye kutoa maneno makali dhidi ya serikali na rais.
Kuna nyakati alikuwa yupo sahihi na nyakati zingine alikuwa mzushi tu. Kwa mfano, aliposema nchi inaendeshwa kwa misingi ya kikabila na kikanda, huo ulikuwa ni uzushi tu. Zilikuwa ni propaganda tu.
Uzushi na propaganda kwenye siasa ni jambo la kawaida sana na la kutegemewa kuwepo. Mwanasiasa asiyezusha, asiyetia chumvi, na asiyepiga propaganda atakuwa kakosea fani.
Sasa mimi naamini hii serikali inafanya makosa sana katika kuwakamata na kuwafungulia mashitaka watu wanaoipinga na kuikosoa. Hizo kesi wanazofunguliwa ni vichekesho mtupu.
Katika kukosea kwao huko, naamini serikali imeunda lidubwana [monster] ambalo kuanzia sasa kwenda mbele itakuwa vigumu kulidhibiti. Lidubwana hili nalifananisha na lile lidubwana la kwenye filamu ya Frankenstein.
Lidubwana hilo ndo Tundu Lissu. Hebu fikiria haya:
Jamaa keshaonyesha kuwa haogopi kuikosoa serikali wala kumsema vibaya rais [mambo ambayo ni ya kawaida sana kwenye demokrasia na ambayo yanahimizwa kufanyika].
Uthubutu na ujasiri wake huo ndo umepelekea yeye kukamatwa kamatwa na kufunguliwa vi kesi uchwara.
Uthubutu na ujasiri huo huo ndo si ajabu umepelekea yeye kushambuliwa kwa risasi kwa lengo la kutaka kumuua. Sijui kwa uhakika ni nani anayehusika na hilo shambulio.
Sasa pata picha atapopona na kurejea tena nchini na kuendelea na harakati zake pale alipoishia!
Serikali itamfanya nini huyu mtu? Wataendelea kumsumbua na hizo kamata kamata zao na kumfungulia hivyo vi kesi uchwara mtu ambaye tayari ana huruma za umma kwa ujumla wake kutokana na yale yaliyomtokea?
Sioni utamkamataje na kumfunga mtu ambaye kanusurika kuuwawa namna ile. Akili yangu inaniambia hata dhamiri yako, kama ni safi, basi itakusuta tu.
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
Naam!..basi mimi nakutaka radhi.
..unajua TIME heals a lot of things.
..labda wakati ule tulikuwa ktk machungu ya TL kujiuguza, hivyo emotions zikatawala hoja zangu.
..lakini kila nikimuangalia TL kuna kitu sijisikii vizuri.
..Nilimuona akielekea kwenye kaburi la Mzee Ndesamburo, jinsi alivyokuwa akitembea, ilinisikitisha sana.
Daah watu wamefukua kaburi ila nyani uliona mbali, na kweli karejea na anaendeleza alipoishia, moto anauwasha kweli kweliZile kamata kamata zisizo na kichwa wala miguu dhidi ya Tundu Lissu na zile kesi uchwara zote zilizofunguliwa dhidi yake naamini ndizo zilizompandisha chati huyo bwana katika huu utawala wa awamu ya tano.
Mara nyingi kama si zote hizo kamata kamata zilitokea baada ya yeye kutoa maneno makali dhidi ya serikali na rais.
Kuna nyakati alikuwa yupo sahihi na nyakati zingine alikuwa mzushi tu. Kwa mfano, aliposema nchi inaendeshwa kwa misingi ya kikabila na kikanda, huo ulikuwa ni uzushi tu. Zilikuwa ni propaganda tu.
Uzushi na propaganda kwenye siasa ni jambo la kawaida sana na la kutegemewa kuwepo. Mwanasiasa asiyezusha, asiyetia chumvi, na asiyepiga propaganda atakuwa kakosea fani.
Sasa mimi naamini hii serikali inafanya makosa sana katika kuwakamata na kuwafungulia mashitaka watu wanaoipinga na kuikosoa. Hizo kesi wanazofunguliwa ni vichekesho mtupu.
Katika kukosea kwao huko, naamini serikali imeunda lidubwana [monster] ambalo kuanzia sasa kwenda mbele itakuwa vigumu kulidhibiti. Lidubwana hili nalifananisha na lile lidubwana la kwenye filamu ya Frankenstein.
Lidubwana hilo ndo Tundu Lissu. Hebu fikiria haya:
Jamaa keshaonyesha kuwa haogopi kuikosoa serikali wala kumsema vibaya rais [mambo ambayo ni ya kawaida sana kwenye demokrasia na ambayo yanahimizwa kufanyika].
Uthubutu na ujasiri wake huo ndo umepelekea yeye kukamatwa kamatwa na kufunguliwa vi kesi uchwara.
Uthubutu na ujasiri huo huo ndo si ajabu umepelekea yeye kushambuliwa kwa risasi kwa lengo la kutaka kumuua. Sijui kwa uhakika ni nani anayehusika na hilo shambulio.
Sasa pata picha atapopona na kurejea tena nchini na kuendelea na harakati zake pale alipoishia!
Serikali itamfanya nini huyu mtu? Wataendelea kumsumbua na hizo kamata kamata zao na kumfungulia hivyo vi kesi uchwara mtu ambaye tayari ana huruma za umma kwa ujumla wake kutokana na yale yaliyomtokea?
Sioni utamkamataje na kumfunga mtu ambaye kanusurika kuuwawa namna ile. Akili yangu inaniambia hata dhamiri yako, kama ni safi, basi itakusuta tu.
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
Aisee sasa hivi wakitumia mabavu kumdhibiti tunaweza kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na hata kutengwa na jumuia ya kimataifa...wamdhibiti kwa hoja.
..Ila some ppl are so misguided wanaamini kwamba matumizi ya vyombo vya dola na mabavu ni njia halali za kumdhibiti TL.
Naam!
Kwa kweli ukimuangalia tu jinsi alivyo sasa hivi, kama wewe ni binadamu wa kawaida, ni lazima ujawe na simanzi.
Kapewa kilema cha maisha.
Licha ya madhila yote hayo, bado anaonekana ni mtu mwenye bashasha tele, ari, na nguvu mpya.
Na kwa jinsi alivyo sasa, serikali ya CCM naona haijui hata ikabiliane naye vipi.
Nani kwa mfano atathubutu kwenda kumkamata na kumpa misukosuko? Ataanzia wapi huyo mtu?
Zamani kabla ya yale madhila ya kupigwa risasi, alikuwa akikamatwa kamatwa sana na kuwekwa ndani kwa sababu uchwara.
Sasa hivi sidhani kabisa atapewa misukosuko kama hiyo.
CCM wenyewe ndo ‘wamemtengeneza’ Lissu na sasa hawajui namna ya kumdhibiti.
Hence ule mfano wa mimi kutumia Frankenstein na yule mwanasayansi aliyemtengeneza na mwishowe kutojua jinsi ya kumdhibiti.
Sikuwa namwita Lissu ‘Frankestein’. Ulikuwa ni mfano tu wa mazingira yaliyowatengeneza.
Mmh..lakini ilikuwaje wasimpe hata matibabu?
..TL siyo mtu mgeni kwa watu wote wanaofanya maamuzi.
..halafu wengine wakaanza hata kumtukana na kumkejeli kwenye majukwaa na vyombo mbalimbali vya habari.
..Hata bungeni mawaziri na wabunge walitoa kauli zenye ukakasi mkubwa dhidi yake, and there was no voice of wisdom to tell them to stop.
..Sikuamini alivyopigwa risasi, lakini pia sikuamini ubaya aliotendewa baada ya hapo.
..What was Magufuli, Samia, Majaliwa, and Ndugai, thought process mara baada tukio, na wakati TL yuko unconscious Nairobi?
Vipi kamanda je unakumbuka haya maneno yako?Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Daaah weacha tu mkuu ..kweli m/mungu ni wa rehema ..kurudi kwa Lissu ni ishara tosha kuwa hata masiha atarudiDaah watu wamefukua kaburi ila nyani uliona mbali, na kweli karejea na anaendeleza alipoishia, moto anauwasha kweli kweli
All in all Lissu ni mwanaume wa shoka, mwamba kweli kweli ni jasiri sana, sikutarajia kama angerejea Tanzania ya Magufuli isitoshe na ujasiri ule ule kama hakuna kilichomkuta uko nyuma
Kuna siku Lissu alikamatwa akapelekwa Central, kipindi hicho Lissu alikua na makesi kibao, wandishi wakamuliza Mkewe kuhusu misimamo ya Lissu kwamba ndio inam'cost, mkewe akajibu huyu ndio Lissu anayemfaham toka ujanani wao, akaendelea akasema siku Lissu akibadilika akapiga magoti kwa watawala yeye atakua wa kwanza kudai talaka, nilishangaa kauli ile ya mkewe
They botched the handling of the aftermath....lakini ilikuwaje wasimpe hata matibabu?