Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
Na wewe?
Tafadhali muondowe mama yetu Samia kwenye hilo kundi, huyu mama ni mama kweli, hata Nairobi alikwenda hospitali kumjulia hali shujaa Lisu...lakini ilikuwaje wasimpe hata matibabu?
..TL siyo mtu mgeni kwa watu wote wanaofanya maamuzi.
..halafu wengine wakaanza hata kumtukana na kumkejeli kwenye majukwaa na vyombo mbalimbali vya habari.
..Hata bungeni mawaziri na wabunge walitoa kauli zenye ukakasi mkubwa dhidi yake, and there was no voice of wisdom to tell them to stop.
..Sikuamini alivyopigwa risasi, lakini pia sikuamini ubaya aliotendewa baada ya hapo.
..What was Magufuli, Samia, Majaliwa, and Ndugai, thought process mara baada tukio, na wakati TL yuko unconscious Nairobi?
Nyani Kama Nyani ni mtu mwenye akili sana. Shida yake ni pale ungosha unapomuingiaga kichwani, hapo ndo anajitoaga sana ufahamu.
Akiweka pembeni ukabila na ukanda, Nyani ni great thinker wa kiwango cha juu sana!!
Japo watu wengi wanafikiri Lisu atarudi na moto ule au zaidi, lkn mm nakuhakikishia Lisu akirudi atakuwa kama kina Ulimboka!
Mama Samia na Mzee Mwinyi hawa ni Binadamu na nusu. Hata Lissu akiingia madarakani sidhani kama atapewa shinikizo na wananchi kuwaadhibu hawa ingawa yeye ameshasema kisasi ni cha MunguTafadhali muondowe mama yetu Samia kwenye hilo kundi, huyu mama ni mama kweli, hata Nairobi alikwenda hospitali kumjulia hali shujaa Lisu.
Mama Samia siyo dhalimu.
Si ajabu ndo maana hata ile siku anarudi, hakukuwepo na presence kubwa ya vyombo vya dola.Nyani Ngabu yaani analysis yako imegonga mlemle. Hongera sana aisee, Uliyoyasema miaka mitatu iliyopita ndiyo yamekuwa hivyohivyo.
Lisu ana sympathy ya Umma, ukimgusa tu unaonekana katili, shetani na wananchi wanakuchukia!
Hilo jina lako ndio 'halinogi', ungeishaukwa unabii. 😂Hebu likarabati basiSi ajabu ndo maana hata ile siku anarudi, hakukuwepo na presence kubwa ya vyombo vya dola.
Na sasa hivi lolote baya litalomtokea, mshukiwa wa kwanza atakuwa ni CCM na serikali yake.
Kazi wanayo.
Lisu anajifariji tu wakati huu ili kupunguza machungu lakini baada ya oktoba hataamini kinachotokea,
Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Japo watu wengi wanafikiri Lisu atarudi na moto ule au zaidi, lkn mm nakuhakikishia Lisu akirudi atakuwa kama kina Ulimboka!
Ataendesha harakati zake kwenye wheelchair
Alipigwa risasi ngapi? Na wapi (eneo), linganisha huduma ya kwanza ya kimatibabu ya Papa huko Ulaya na TZ/Kenya!
Mitandao bhana inakutumbusha pale tunapokuwa tumesahau.Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Mkuu umeliona nyomi la Tunduma leo?Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Mkuu Lisu ni debe tupu lile!
Amini ninachokuambia, Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura!
Alafu unakumbuka mlikuwa mnahamasishana humu msiende kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura mpaka wewe ukafikia hatua ya kumkejeli Mbowe aliposema sema watu wajitokeze kwa wingi kujiandikisha?
Sasa huyo Lisu atapigiwa kura na nani?
Wacha kiherehere! Unadandia usiyoyafahamu! Mbona huyu ndiye amekuwa akisema eti Tundu Lissu anajitafutia umaarufu? Na wewe una akili fupi pia?Leo makamanda watakuunga mkono.
Mtoa mda alitakiwa aandike hii facts way back to 2017 not now. Nyani Ngabu ni mzushi sana. Lkn siyo haba kwa yeye ku-disclose ya moyoni kwake against TAL kupitia hii post yake.Leo makamanda watakuunga mkono.
Hao mercenaries wana shida sanaVipi mkuu naona umeshabadili gia angani!!![]()