Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,808
Kwani kampeni zimeanza kunywa mtori nyama utazikuta chiniNyomi?
Anafikia hata robo ya lile la Slaa 2010 na Lowasa 2015
Kwani kampeni zimeanza kunywa mtori nyama utazikuta chiniNyomi?
Anafikia hata robo ya lile la Slaa 2010 na Lowasa 2015
Nyomi?
Anafikia hata robo ya lile la Slaa 2010 na Lowasa 2015
Aaaaah nyie watesi wa lissu mnateseka sana.Kwanza kabisa huyo jamaa siyo wa kurudi leo wala kesho na hata akirudi kila kitu kwisha habari yake, kuna kiwango cha risaisi ambazo mwili wa Binadamu unaweza kuhimili, kupigwa risasi zote hizo siyo mchezo, huyo kwanza hata akifanya press conf. mtu akibamiza mlango tu kwa bahati mbaya atazimia atafikiri ni hitman wamemjia tena,
Kama ulishawahi kupigwa risasi au hata kukoswa tu unaweza kuelewa ninachomaanisha, hivyo ukiniuliza mimi huyo Tundu Lisu ndiyo basi tena its over, kwani sidhani hata kama ataweza kutembea tena, achilia bali hata tu kuinuka, atabakia jina tu kwa wafuasi wake kama vile Marando &Co., kwa kifupi they fvcked the guy up forever man, whoever shut him!
Wapi nimesema Tundu Lissu anajitafutia umaarufu?Wacha kiherehere! Unadandia usiyoyafahamu! Mbona huyu ndiye amekuwa akisema eti Tundu Lissu anajitafutia umaarufu? Na wewe una akili fupi pia?
Umesoma tarehe ya uzi? Au umekurupuka tu?Mtoa mda alitakiwa aandike hii facts way back to 2017 not now. Nyani Ngabu ni mzushi sana. Lkn siyo haba kwa yeye ku-disclose ya moyoni kwake against TAL kupitia hii post yake.
Unastahili kufungua kanisa lako, halafu utakuwa unaitumia hii thread kama ushuhuda.Wala sikutabiri.
Ilikuwa ni tathmini tu.
Sasa hapa ndio unaongea nini?Wacha kiherehere! Unadandia usiyoyafahamu! Mbona huyu ndiye amekuwa akisema eti Tundu Lissu anajitafutia umaarufu? Na wewe una akili fupi pia?
Lisu kuwa Rais wa Tanzania sio rahisi na haitakuja kutokeaHatimaye, three years later utabiri wako unatimia. Lissu amepona na kurudi Tanzania, na mbaya zaidi amekuwa zaidi ya tishio kwa Magufuli na Serikali.
Watanzania wanampenda zaidi na anaenda kuwa Raisi wa Tanzania kwenye uchaguzi wa October 2020
Wewe ni Mafiga Matatu no. 2 hapa Jamiiforums. Mafiga Matatu no.1 aliandika mambo 2012 yanayotabiri aina ya serikali itakayofuata baada ya Kikwete kuwa itakuwa katili na pia alitabiri 4 possible candidates akiwemo Magufuli. In short akipita mulemule.Sioni utamkamataje na kumfunga mtu ambaye kanusurika kuuwawa namna ile. Akili yangu inaniambia hata dhamiri yako, kama ni safi, basi itakusuta tu.
Hakika hii serikali ya awamu ya tano ilibugi stepu katika namna ya kumkabili Lissu na sasa amekuwa lidubwana ambaye anaweza asidhibitike tena.
Ni muda tu ndo utaotueleza.....
Daaah.....you are right boss.Salute! Nani kaibua uzi hii kipindi hiki? Mungu anamwona.Umesoma tarehe ya uzi? Au umekurupuka tu?
Na uzushi uko wapi hapo?
Naombea mambo yawe hivyo hivyo kama ulivyoandika, hatuwezi kutaliwa na lichama limoja miaka nenda rudi hadi watu wanajisahau.Kula kwanza yake matapishi yako ya mwanzo. Kimsingi kwenye ushindani kuna mshindi na mshindwa, hakuna mwenye tatizo na hilo, ila hakuna uwezekano wowote wa ccm kushinda zaidi ya 55% kihalali. Zile zama za ccm kushinda zaidi ya 60% zimeshapita na hazitakaa zirudi, na iwapo wapinzani watasimama kidete kutaka mshindi halali atangazwe, kwa vyovyote kutatokea machafuko, na kutokana na machafuko hayo kutatokea mabadiliko makubwa kwenye chaguzi za nchi hii. Na ikitokea mabadiliko tu ya mfumo wa uchaguzi, huo ndio utakuwa mwisho wa ccm, hicho chama cha kizazi kilichopita.
Wengine tukisema MATAGA wengi ni vilaza, tunaonekana wakorofi.Umesoma tarehe ya uzi? Au umekurupuka tu?
Na uzushi uko wapi hapo?
Mkuu ushindi ni mahesabu, na mahesabu yenyewe yanaanzia kwenye kujiandikisha katika daftari la mpiga kura,!
Nyie mlishayapuuza tangu zoezi linaanza, sasa hivi ndio mnajifariji kwa mafuriko ambayo hata Slaa alikuwa nayo.
Kiufupi sioni hasa ni wapi chadema mmejiwekea mikakati ili mshinde urais wa tz.
Yani muwe na zaidi ya 50% ya wabunge bara na Zanzibar
Kisha na muwe na zaidi 50 % kura za urais bara na Zanzibar
Sioni!
Mtoa mda alitakiwa aandike hii facts way back to 2017 not now. Nyani Ngabu ni mzushi sana. Lkn siyo haba kwa yeye ku-disclose ya moyoni kwake against TAL kupitia hii post yake.
Kuna watu wakurupukaji sana!Hii post mbona ni ya mwaka 2017. Angalia tarehe iliyotumwa.
Acha presha na papara mkuu na uwe mwepesi wa kuelewa. Umemsoma niliyemquote? Umeelewa kwa mujibu wa maelezo yake Tundu Lissu angekuwa wapi?Nyomi?
Anafikia hata robo ya lile la Slaa 2010 na Lowasa 2015
Mkuu tindo, kwanza nikupongeze kwa kuwa mfuasi kindakindaki wa CHADEMA na hasa Lissu. Hongera za dhati.Kula kwanza yake matapishi yako ya mwanzo. Kimsingi kwenye ushindani kuna mshindi na mshindwa, hakuna mwenye tatizo na hilo, ila hakuna uwezekano wowote wa ccm kushinda zaidi ya 55% kihalali. Zile zama za ccm kushinda zaidi ya 60% zimeshapita na hazitakaa zirudi, na iwapo wapinzani watasimama kidete kutaka mshindi halali atangazwe, kwa vyovyote kutatokea machafuko, na kutokana na machafuko hayo kutatokea mabadiliko makubwa kwenye chaguzi za nchi hii. Na ikitokea mabadiliko tu ya mfumo wa uchaguzi, huo ndio utakuwa mwisho wa ccm, hicho chama cha kizazi kilichopita.
Yaelekea tangu Lissu arudi hujapata hata lepe la usingizi. Unaweweseka tu.Kwahiyo akianza kampeni mtamdekia barabara tena?
Kitu kinaunguruma mbele ya halaikiAtaendesha harakati zake kwenye wheelchair
Majibu utayapata October 2020Lisu kuwa Rais wa Tanzania sio rahisi na haitakuja kutokea