Tundu Antipas Lissu

Tundu Antipas Lissu

Sasa hivi tu kumtoa JK imewatoa Ukawa jasho mbali na skendo zote zilizoitikisa serikali.
Hiyo ukawa wameshindwa hata kuisajili kwa "merger of political parties" ambayo inaruhusiwa kisheria na ni rahisi sana kwa sababu viongozi wangepoteza nyadhifa zao.
Hata makubaliano ya ukawa hayajasajiliwa rasmi chini ya sheria.
Ukawa sio chombo kilichosajiliwa kisheria. Ukawa hakitakuwa chama kinachoongoza serikali. Kikatiba Chadema ndo chama..
Kwengine wote Rais akishatangazwa na serikali kuundwa vinakuwa vyama vya upinzani.
Rais atatakiwa kuendesha nchi kwa kufuata katiba (ambayo haijabadilishwa) na rais hana mamlaka ya kuibadilisha. Rais anatumia katiba kutawala na sio makubaliano ya ukawa.
Tamu sana hii.

Ukawa ilikuja baada ya jk kuwa madarakan,kwa hyo kumtoa isingewezekana na hapakuwa na umoja huu wa sasa....
 
Hakuna shaka kabisa LIssu alishindwa kupangua hoja na akaja na ad hominem kibao. Kinachosikitisha zaidi ni kuwa yote yanayosemwa kuhusu Josephine na ushawishi wake kwa Slaa hajayasemwa bado kuhusu Regina na ushawishi wake kwa Lowassa. Inawezekana kabisa mwanamke mwenye nguvu zaidi katika hili ni Regina na ndiye ambaye amemsukumiza Lowassa kwenye makoo ya WanaCDM huku yeye mwenyewe akikaa pembeni...

Ouuuch...
Nasikiaga watu wanakusifia humu kumbe si lolote..mwandishi amemuuliza maswali Lisu sasa wee hayo ya Regina na Lowassa yameingiaje? Basi kuwe na awamu nyingine ndio ya kwao yaongelewe
 
Kiukweli hapo Tundu Lissu amebugi kabisa, badala ya kijibu hoja anaenda kumtaja Josephine, HAKUKUWA na huo ulazima!! Sasa nimeanza kuona ukosefu wake wa busara!

Lisu hakua akimjibu Slaa. Alikua akijibu kulingana na maswali aliyoulizwa na mwandishi wa habari wa VOA aliyempigia Lisu simu. Elewa mkuu!
 
Tokea zamani alipoanza tu julikana nilimpima na kumtasmini Lissu nimegundua alichelewa kutembea na kuongea kwa hyo kuna vitu muhimu kwa mtt wa maisha bora alivikosa kwa hyo msimrahumu tatizo sio yy protini ya ubongo ilikosekana nahisi mwajua ninachoamanisha.......
 
mtoa post we ndio umeshindwa kufikiri sawa,ulitaka majibu yapi?,kabla ya majibu kwa slaa,tunamaswali slaa anatakiwa kutujibu,press iliandaliwa na nani kwa gharama za nani ,kwa maslahi ya nani,alikuwa wapi siku zote,kwanini asijitokeze baada ya lowasa kuja kwa mara ya kwanza,na kwani na alihusika kumtafuta lowasa toka mwezi wa tano,je hakujua kama fisadi,na hoje zake zinajenga upinzani au zinabomoa na kwa maslahi ya nani?????,akiweza kutujibu tukalidhika,tungemuelewa baada october.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom