Tundu Antipas Lissu on BBC HARDtalk - 21 January 2019

Sasa hapa na wewe unajisifia umeandika kitu kweli?
Lissu ni ana tradeoff na ujinga wa wabongo.. wakijua mtu mwanasheria wanajua ndio msomi..Nilienda kijijini kwetu siku moja nikaambia kuna kwa mwanasheria fulani kametoka halmashauri gani sijui huko kakasema kenyewe ndio kasomi kijiji kizima niliishia kucheka na kusema kama mwanasheria kasema basi sawa. Tundu anafikiri ni yeye tu Tanzania wengine wote mazwazwa.

In God we Trust
 
Tundu amezidiwa vibaya saana kwenye interview hii. Akili za wazungu usipime Wanatujua kwelikweli. Wanajua namna JPM anavyoibadilisha Tanzania na ambavyo kundi la wabunge wa upinzani wanavyokunwa naye hadi wanahamia kwake CCM. Na jinsi atakavyopita kwa kishindo 2020. Tundu anadai eti wote wananunuliwa. Mtangazaji anamwambia kumbuka wewe ni Mwanasheria Mwandamizi, kwanini unatoa allegations zisizo na evidence Tundu anabaki bila hoja

Hahahahahh mbombo jilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahojiano ya Lisu Yana trigger more followup ya waandishi wengine kufukurunyuwa yalio jificha wenzetu wanaishi kwa habari sasa ni kama mmewagusa kutakuwa wimbi la waandishi kutafuta inside story za magafuli era mjitahidi kuandalia kwa macho matatu hili.
 
Anyway nilikuwa sitaki kukujibu maana nilisha weka msimamo kuwa watu fulani just ignore them. Ngoja nijibu kidogo.
Kama umesikiliza kwa weledi, mtu ambaye ana elimu ya sheria kidogo atagundua kuwa Stephen Sucker alikuwa anamuuliza leading questions which are not allowed in examination -in-chief au direct examination! You cause your witness to give answers you want! basi ndicho kilichofanyika leo! kama huelewi tafuta Lumumba mwenzako akueleweshe.
Threfore today's mission is highly accomplished.... to expose the evils of 5th dictatorial regime!
tengeneza utetezi uwezavyo ila mwishowe aliishia kutoa tuhuma zisizo na ushahidi. Halafu, si kwamba mtu akiongea kiingereza au kujitetea kwa kiingereza ndio kuongea ukweli.
 
Tundu amezidiwa vibaya saana kwenye interview hii. Akili za wazungu usipime Wanatujua kwelikweli. Wanajua namna JPM anavyoibadilisha Tanzania na ambavyo kundi la wabunge wa upinzani wanavyokunwa naye hadi wanahamia kwake CCM. Na jinsi atakavyopita kwa kishindo 2020. Tundu anadai eti wote wananunuliwa. Mtangazaji anamwambia kumbuka wewe ni Mwanasheria Mwandamizi, kwanini unatoa allegations zisizo na evidence Tundu anabaki bila hoja

Hahahahahh mbombo jilipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo matatu: ama, 1. Hukuelewa lugha Kwa ufasaha 2. Hujui malengo ya Half Talk 3. Umeamua kupotosha!
 
Ndugu zangu,

Kama wazungu wanatambua kuwa tuhuma za akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe na wenzao kuwa ni za 'kutengeneza' basi wabadili mbinu.

kitendo cha waandishi wa media za kimataifa kuyaita madai ya Lissu kuwa ni ''base less allegations'' au ''inflamatory statement ni dhahiri wapo uchi.

Huenda Zitto Kabwe naye hajatupa mrejesho wa Mwenyekiti wa jumuiya za madola baada ya kuambiwa ''your allegations against Hon.Ndugai with respect to CAG are utter baseless''

Tuliwahi kusema hapa uongo haudumu na ndicho kilichotokea na zaidi umewaumbua watu mchana.

Ni dhahiri hata ule mpango wa akina Ngurumo kutafuta ''hadi ya ukimbizi'' Finland umeshindwa.

Tanzania yetu sote, tuipende,tuikumbatie.
Yaani ndo hapa tunapokuwa na wasiwasi na elimu juu ya watu wanaotuongoza,mnauelewa finyu sana!!!mnachomoa vimaneno viwili halafu mnakuja huku mtandaoni!weka maongez yote halafu tujadili hapa!unaruka ruka tyu utafikir chura!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema dereva anaumwa ugonjwa wa 'kisaikolojia'
Hahahahahah haya mambo yanawezekana Tanzania tu. Bavicha wamepigwa sindano ya ganzi kwenye ubongo,kiasi hakuna wa kuhoji dereva yuko wapi?Ukiwauliza tu hili swali wanakuuliza cctv ziko wapi hahahahahahah. Hawaoni logic ya kukimbia na dereva ila wanaona logic ya cctv

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
wanauliza cctv wakati mtu aliyeshuhudia wapiga risasi wanamficha kutoa taarifa kwenye vyombo vya dola.
 
kama jitihada za Lissu hazina maana mbona mmeanza kutoa upepo wa tumboni? Simple mdharauni muendelee kufanya yenu, acheni aendelee kuhangaika huko.
 
Back
Top Bottom