Huna akili wewe hujui hata unakoment nini,....wewe si umesema umekunwa na mwanaume mwenzio! Kwahiyo wewe ni punga?
Kama mmepanga kumuua mkashindwa.....amepona anakula bat a kidg tayr figisu zshaanza.
Thrust me bro akifika anafikia mahabusu na kesi kibao we utaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ulielewa kweli mzee?Haya tuseme wazungu wanajua kwa hiyo? Watafanya nini? Watamfunga huyo magufuli? Lisu anaulizwa maswali ana kwepakwepa tuu mara anamuingiza makonda ndani anaambiwa lete ushahidi anadai naweza kupiga simu..
Sent using Jamii Forums mobile app
.....Hivi ulielewa kweli mzee?
Mleta mada hawezi kukuelewa!Tusisahau umuhimu wa kiatu porini sababu ya joto tunalolihisi miguuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao si ndio mnawaita mabeberu?Mnataka tena kuwapa uraia wa Tz mabeberu?Swali lako hili linaonyesha unaijua Tanzania na mazuri yake yote. Swali lako hili ni mwiba mchungu kwa wasaliti wote wa nchi yetu.View attachment 1002606
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamezoea kusikia miccm ikihojiwa TBC!Lumumba kweli ni tatizo; mwandishi mahili lazima awe upande wa pili kukupiga maswali ambayo hutapenda hata kuyasikia.
Sasa mlitarajia amuulize nani alitaka kukuuwa inaweza kuwa Serikali eee;
Kuna ununuzi wa ndege hivi unafurahia au? Eti mikutano ya Siasa imefungiwa hivi katiba yenu inasemaje kuhusu hilo;
Kuna watu wanapotea potea hivi inaweza kuwa serikali ama majambazi tu; Vipi wewe unaonaje kuhusu ushoga?
Sasa hiyo rubbish nani angekaa chini na akili yake asikilize.
Subiri akienda wa Serikali uone moto wake!! unaweza rusha ngumi kama una hasira za hapo kwa hapo.
Mleta mada anasema kwenye tittle kuwa kakunwa na mtangazaji,hahahahahahahaaaaaaa!Swali lako hili linaonyesha unaijua Tanzania na mazuri yake yote. Swali lako hili ni mwiba mchungu kwa wasaliti wote wa nchi yetu.View attachment 1002606
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni sehemu Moja ambayo Lisu alichemka mno hakujua kuwa wazungu wako kibiashara zaidi ukinunua ndege zao wewe rafiki yao umewaingizia PESA.Alipoponda ununuzi wa ndege alifikiri watamshangilia!!!! Wao wako after soko wao ni capitalists.Magufuli asiponunua ndege kwao chadema itanunua? Watetee uhuru wa kuongea kwani huyo uhuru wa kuongea unawaingizia shilingi ngapi kwenye mauzo ya ndege zao? Lisu Kwa mahojiano yale ni wazi anapinga mabepari wasiuze ndege zao!!! Wauze wapi Kwa kumtetea yeye? Tundu Lisu ana soko lake?!!!! Boeing shareholders wako ulaya Na marekani ukipiga Vita biashara yao unategemea support Toka ulaya Na marekani wakati wao wako after business?Lumumba kweli ni tatizo; mwandishi mahili lazima awe upande wa pili kukupiga maswali ambayo hutapenda hata kuyasikia.
Sasa mlitarajia amuulize nani alitaka kukuuwa inaweza kuwa Serikali eee;
Kuna ununuzi wa ndege hivi unafurahia au?
Swali lako hili linaonyesha unaijua Tanzania na mazuri yake yote. Swali lako hili ni mwiba mchungu kwa wasaliti wote wa nchi yetu.View attachment 1002606
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani dume zima linaongea eti lumekunwa na mwanaume mwenzie! Lijinga hili!Hongera sana kwa kukunwa na mwanaume mwenzio
1.5 T unafikiri hawajasikia..In my opinion, the interview increditably credited JPM