imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,460
Wewe Unathubutu kucheka kohoa kwaama wewe ni mwanake wa Shoka au umevaa Pedi.Mbowe yuko usa
Hahahaha
Mijitu mmkubuu kwa uwongo walahi
Ovyo kabisa walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Unathubutu kucheka kohoa kwaama wewe ni mwanake wa Shoka au umevaa Pedi.Mbowe yuko usa
Hahahaha
Mijitu mmkubuu kwa uwongo walahi
Ovyo kabisa walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wote wangekuwa "Cynical and Timid" kama hivyo ulivyo sidhani hata kama watu wangejitokeza kudai uhuru.Tundu na makanda wake ni muhimu kutambua Kabla Ujaanzisha Vita dhidi ya Adui yako ni lazima Utambue Nguvu yake, hivyo nashauri na namshauri Tundu na Makamanda wake mambo mawili Kama ifuatavyo :-
Mosi, Kabla ya Kupambana na Serikali Kwa kuitupia Madongo na kejeri ukiwa Ughaibuni ni muhimu Kutambua Nguvu ya Serikali hiyo je Ukishindana nayo Utashinda au Utashindwa na Kuumia?
Pili, Kabla ya Kupambana na kuvutana dhidi ya Spika pia jaribu kupima na kutambua Nguvu yake dhidi yako Kama Mkuu wa Muhimili huo, Kimbinu, Kisheria au kimkakati ili baada ya mapambano yenu au mvutano huo husitafute huruma ya Wananchi na Wadau wengine Kimataifa ktk kutetea Ubunge wako utakaokuwa umetenguliwa.
Agalizo,
Kumbuka Mdomo Uliponza Kichwa, Makamanda wako wa M4C wanakupamba kwa Nyimbo na Mapambio Kama Maiti lakini Maumivu utakayo yapata baada ya Mashindano/Mvutano huo utakuwa mwenyewe na familia yako kwani ''Kila Mchuma Hala Ula na Wakwao.
Hitisho,
Kutokana na hayo niliyoandika hapo juu, Nilikuwa najiuliza na kuwaza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una tatizo na hilo?
Makamanda mbona mmenywea?Leo umechelewa comments kwenye nyuzi zimefurika, sijui utateteaje posho
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe hamjabomoa, sembuse lisu. Mtashikwa na butwaa mtapojikuta mpo jf members peke yenuThubutuuu!!!!...tutabomoa hiyo jela na kwenda kumtoa
Ebo kumbe unasagwa...maweeeeee🖕
Aliyekuambia mimi ni kamanda ni nani? Nakusikitia posho leo bye byeMakamanda mbona mmenywea?
Wewe hapo ulipo utakuwa unajiandaa kuingizwa Mirembe ndani kabisa ya ICU.Lisu kasema akiwa rais Tanzania itakuwa hot base ya ushoga duniani, makao makuu yake yatakuwa Singida haya ni maajabu
Acha kuvuta Bangi huku ukiwa na mimba utaharibu mtoto wa Le mutuz ujue ana miaka 57 sasa hana mke ni single mzee pigania akuoe maana mnaendana kiakili kila analokukaririsha umekariri.Makamanda mbona mmenywea?
Ulimsikia Stephen Sackur alivyomuambia Mhe LISSU tunafuatilia.Mbowe hamjabomoa, sembuse lisu. Mtashikwa na butwaa mtapojikuta mpo jf members peke yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekuambia mimi ni kamanda ni nani? Nakusikitia posho leo bye bye
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapuuzi kama nyie mnaojifanya wajuaji hii ndiyo dawa yenu toa nje ya reli tu.pumbavuWewe unakobolewa!
Mhe Tundu lissu kasema Rukhsa kuwaingilia wana CCM lakini mambo Chumbani yabaki Chumbani.Inama.
Natabiri kesho hatokuwepo hata mmoja online maana chenji ya kununulia bando hamna leo. Wamekiona cha mtemakuni.Hao watetezi wa CCM wengi ni vilaza na mbumbumbu endelea kuwapa mawe mpaka wafukuzwe kazi na Le mutuz.
Kwanini usingetafuta mkalimani kwanza kabla ya kuchangua mawazo yako kwenye hiyo interview?Comedy show walahi
Mdhungu amemgundua jamaa ana addiction ya painkillers ndio Maana akamsitiri tu walahi
Duh tundulissu msaliti anajianika marifi usoni walahi
Aiibuuu uwiii
Sent using Jamii Forums mobile app