Tunaweza kupata viwanja kwenye Bahari ya Hindi

Habari Tanzania !

Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi au Uwekezaji pale au ninyi watu wa Dar es Salaam mnasemaje kwenye hilo?

Karibu.

Mwenyewe unaona umetoa wazo la maana.... Kumbe la kipumbavu la mtu asiyefikiria. Hizo gharama zote za nini Dar es salaam ina maeneo makubwa meeeeeeeeengi sana. Sana. Ambayo yanaweza tumika.

Why kwenda sukuma maji kwa gharama kubwa ilhali ardhi ya kutosha ipo? Madogo wa o level mkisoma tu kitu mnakuja kutaka kifanyike.
 
Nataka Shamba Ilala la kulima Mchicha Msomi wa Dar es Salaam Chuo Kikubwa
 
Kumbe tatizo ni kubwa kuliko nilivyofikiria. Unalijua bonde la Msimbazi? Unajua lipo Ilala? Wanalima. Mchicha? Unafahamu Ilala ipo mpaka wapi? Lakini kwa akili ya kawaida tu ya darasa la saba.

Je kila sehemu inaweza fanywa shamba? Nyie madogo shulen mnaenda kucheza mdako au kombolela? Mbona kuna vitu vya kawaida sana mlipaswa muwe mnavielewa na hamuelewi?
 
Nimesemea ardhi ya kulimia, wewe haupo nchi hii. Unaishi maisha ya kufikirika yasio na uhalisia.

Hili wazo ni baya endapo ukiwa na mtazamo mfanano na mawazo yako Poti.
 
Back
Top Bottom