TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,212
- 13,053
marahaba mdogo wangu, idd imepitaje?Dada shikamoooo.......
Asante kwa kujitotea, nilishaziwakilisha kupitia kwa bibi wa mtu mzima mwenzangu babu Dark Citywanaoogopa wooooote wantumie mie niziwasilishe.
Asante mdogo wangu, nilishapata wa kuniwasilishia....Dada mimi bado ila nitachangia kama vipi wemntumie tu mimi nitaziwakilisha.
utakuwa na makengeza, angalia vizuri.
ionwe na MANI
naona umetoa shukran kule, bilashaka umeshaipata video unayotaka.Hahahahaaaaa nimeona bhana, Kumbe mkwara wa MANI umesaidia!!!! Be blessed ntawakilisha kunakohusika. Naomba nitumie ile video kwa Whatsapp naona Mohamedi Mtoi Yuko kimya
Hizo logistics zitapata majibu very soon. Michango yote inatumwa kwa namba ya JFHiyo gathering inafanyikia wapi na muda gani kabla ya kwenda huko Ocean Road,Hiyo michango inapewa nani.
Miss chaga,boss,bujibuji ,masai dada,mamndenyi,mkirua,et al msijifanye hamkusikia hili tangazo!
marahaba mdogo wangu, idd imepitaje?
ntaongeza, sema kwakuwa hili ni swala endelevu na wagonjwa wenye uhitaji huongezeka kila siku, kuwa mpole na vuta subira.Ukilipwa lile deni lako uongeze kidogo
Hiyo gathering inafanyikia wapi na muda gani kabla ya kwenda huko Ocean Road,Hiyo michango inapewa nani.
Miss chaga,boss,bujibuji ,masai dada,mamndenyi,mkirua,maundumula,price et al msijifanye hamkusikia hili tangazo!
Marahaba Mrembo.
Mbona sijauona mchango wako?
Aksante amu kwa kumfundisha Mount Kibo jinsi ya kuita watu, kwa ujumla tupo pamoja, Ni jambo ambalo linanigusa kwa namna ya pekee kwani nimekuwa na mgonjwa hapo ORCI na nimepiga ruti hapo miezi kadhaa so nalielewa vyema jambo hili.....
amu,
Nashukuru kwa kunistua maana ingenipita hivi hivi.
Naomba maelekezo juu ya kuwakilisha mchango wangu na nitafikisha japo kidogo inshallah.