Tunawashukuru Sana. MUNGU awabariki

Tunawashukuru Sana. MUNGU awabariki

Hiyo gathering inafanyikia wapi na muda gani kabla ya kwenda huko Ocean Road,Hiyo michango inapewa nani.
Miss chaga,boss,bujibuji ,masai dada,mamndenyi,mkirua,maundumula,price et al msijifanye hamkusikia hili tangazo!
 
Hiyo gathering inafanyikia wapi na muda gani kabla ya kwenda huko Ocean Road,Hiyo michango inapewa nani.
Miss chaga,boss,bujibuji ,masai dada,mamndenyi,mkirua,et al msijifanye hamkusikia hili tangazo!
Hizo logistics zitapata majibu very soon. Michango yote inatumwa kwa namba ya JF
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
amu,

Nashukuru kwa kunistua maana ingenipita hivi hivi.

Naomba maelekezo juu ya kuwakilisha mchango wangu na nitafikisha japo kidogo inshallah.
 
MUNGU awabariki sana sana tunasubiri mchango wenu wa hali na mali
Aksante amu kwa kumfundisha Mount Kibo jinsi ya kuita watu, kwa ujumla tupo pamoja, Ni jambo ambalo linanigusa kwa namna ya pekee kwani nimekuwa na mgonjwa hapo ORCI na nimepiga ruti hapo miezi kadhaa so nalielewa vyema jambo hili.....

 
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati na MUNGU akubariki, hopefully namba ya JF ya mchango unaifahamu, tafadhali wame-mention na wengine waje huku kuchangia na MUNGU akufanikishe nA KUJIBU haja ya moyo wako
amu,

Nashukuru kwa kunistua maana ingenipita hivi hivi.

Naomba maelekezo juu ya kuwakilisha mchango wangu na nitafikisha japo kidogo inshallah.
 
Back
Top Bottom