amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
yaani hujanistua hata!! hakyanani sikusaidii kuchanga.!
Nkilipa mimi ndo umelipa wewe.
But ipo kwenye invoice yako ya leo jioni
yaani hujanistua hata!! hakyanani sikusaidii kuchanga.!
Nkilipa mimi ndo umelipa wewe.
But ipo kwenye invoice yako ya leo jioni
Natamani ingekuwa kweli.... nzi ningeweza fia kwenye kidonda chako wallah.
wewe tayari mdogo wangu?
Mimi nina nia sana ya kuchangia, ila mode ya uchangiaji ndo inanikwaza kidogo, sijui nitokaje?
Ngoja nimtafute Ennie nione kafanyaje
Eid Mubarak my love....
Njo uchukue wewe.....au una allergy na vitu vizur??
Hapana, nna allergy na vitu vibaya..... Kibaya pekee nsicho na allergy nacho ni papuchi tu baaaaasi.
0765949146
sina imani na wewe. nafikiri unafahamu hili
Hujambo mpenzi.wanaoogopa wooooote wantumie mie niziwasilishe.