Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Waswahili walisema kutoa ni moyo, mimi kama Elli napenda sana niwashukuru Wana JF wote kwa ujumla ambao mmekua sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Shukrani hizi zimejengwa kwenye msingi ule wa safari ya JF kutembelea wagonjwa hapo August 8, 2014.
Nimeshtushwa na moyo huu wa kujitolea kwa hali na mali hasa nilipomuona Mtambuzi akinipighia simu na kuweka mipango kem kem lakini PM zilitumwa kwangu kuonyesha nia ya kutoa nazo zilintia moyo sana, Asanteni sana Dada na Kaka zangu akina Neylu everlenk MANI andishile Nyamgluu Invisible Paloma Ennie Christine Ibarhim Heaven on Earth Inspector lady kashesho kwa uchache sana.
Kwa wale ambao wanaendelea kutuma chochote kile nafarijika sana na nikiamini kuwa our next move nikufanya kitu kikubwa zaidi katika kuwasaidia wengine huku ID zetu zikibaki kuwa utambulisho wetu.
Naleta ombi langu tena kwenu kuwa kwakuwa zimebaki siku takribani nane kabla ya safari yenyewe nawaombeni sana sana sana wale ambao hawajtoa bado watume michango yao, si lazima uende au si lazima utoe pesa. Fikiria tu kuhusu wagonjwa wale pale Ocean Road, jiweke kwenye nafasi yao na MUNGU awabariki.
Nitumie PM kama unaogopa kuweka mambo yako hadharani.
Naomba sana ukisoma thread hii jaribu ku-mention at least mtu mmoja au wawili na kumhimiza ajitoe kwa hali na mali na kila atoae naamini atazidishiwa. Taaarifa zaidi soma thread hii
https://www.jamiiforums.com/habari-...-kutembelea-wagonjwa-dar-agosti-8-2014-a.html

Last edited by a moderator: