binnystanzania
Member
- Mar 5, 2018
- 96
- 35
Wauzaji wa pochi mpya zenye watoto kuanzia sh elfu 40 tuu. Tunapatikana Tegeta Dar na popote tunadeliver. Ukihitaji tupigie/whatsapp 0714 191 429.
Picha za pochi zitapostiwa kadiri thread inavyoendelea. Karibuni.
Ndio mkuu zina watoto wawili, watatu nyingine mpaka wannePochi zenye watoto [emoji848][emoji848][emoji87]
Wateja wanaielewa hii lugha, ndio inayotumika sokoniLugha iliyotumika kidogo imewachanganya wateja
Jr[emoji769]
haha, lugha ya kibiashara hiyo mkuuDah nimefurahi kinoma nikasema sasa hapa ndio wakati mzuri kwa wale wasiopata watoto kununua pochi na kunufaika kwa kupata mtoto kama nyongeza kumbe sio. Dah
Mm bado sijaelewa nieleweshe mkuuDah nimefurahi kinoma nikasema sasa hapa ndio wakati mzuri kwa wale wasiopata watoto kununua pochi na kunufaika kwa kupata mtoto kama nyongeza kumbe sio. Dah
Mtoto maana ake pochi inakua na pochi ndogo yake na wallet
Umenikumbushs Hadith ya Abunuas na sufuriaDah nimefurahi kinoma nikasema sasa hapa ndio wakati mzuri kwa wale wasiopata watoto kununua pochi na kunufaika kwa kupata mtoto kama nyongeza kumbe sio. Dah
haha karibuUmenikumbushs Hadith ya Abunuas na sufuria