Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

Jf kuna mengi jaman,tunatofautiana kila kitu,kweli mtu mweupe kabisa unahudhuria ibada ya kishetani je wakikuua huko mzazi wako atamlilia nani na wapi atashitaki?

Katika movie ya Braveheart..kuna kauli moja Mel Gibson (angali mtoto) alipewa na Baba yake kama wosia

"Your heart is free..have courage to follow"

ni moja kati ya wosia nionazo ni nzuri sana..

Na ndicho Mshanajr anafanya nafikiri
 
Whaat!! Hii kali mshana Jr!!
Anyway ni mtazamo
Na kwa kuwa nimeshashiriki matukio kama haya najua mimi nafanya nini nikiwa pale.
Sibishi kuwa kuna makundi bado yanafanya ibada za wanyama wa kuchinja.
Ila mtu anaejiita MKRISTU kwa choice yake tambiko pekee analofanya ni au kushiriki ni kifo cha huyo Kristu.

Mkristu huyu anapofanya matendo mengine yoyote huwa ni ya kijamii, mfano kumpa baba chakula kwanza kumpa mtoto chakula kwanza, kutumia mikono,kutumia vifaa vingine kulia chakula, kuvaa pete wakati wa kufunga ndoa.
Sababu nyingi sana za miiko ya ulaji zilikuwa za kiafya (public health) au umakini ktk utunzaji wa resources.
Z
Acha hizo
 
Ni mtazamo tu Haika ila utafakari
 
Last edited by a moderator:
Naandika makala hii si kwa ajili ya kubeza mila na desturi za wengine au kukosoa utaratibu uliozoeleka kwenye matukio mengi ya furaha.

Naandika makala hii kuonyesha siri mbinu na mitego anoyotumia shetani kumuangamiza mwanadamu
Kwa kuweka wazi jinsi shetani anavyoturubuni na kumtumikia bila kujua itatusaidia kumkabili adui huyu dhidi ya maisha yetu na wapendwa wetu

SHEREHE NYINGI ZA KUKATA KEKI NA NDAFU NI IBADA ZA SHETANI

Niliwahi kuhudhuria ibada ya mashetani nje ya Tanzania, tendo moja kubwa na muhimu ni kula nyama nakunywa damu ya binadamu. Ni tendo la kikatili mno na lililojaa mateso kwa mhanga! Mimi sikula wala kunywa.

Wakatoliki wanakula makanisani mwili na damu ya Yesu.

Ni ma cannibal aka wala nyama na damu ya binadamu.
 
Udini utalizeesha ili limama.....roho yake imejaaa chuki.sijui ameumbwaje

Kwani uongo? hii ni nini:

Yohana 6:
54 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho.
55 Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli, na damu yangu ni kinywaji cha kweli.
56 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.

[SIZE=+3]CHRISTIAN CANNIBALS[/SIZE]
An argument of why Christians are cannibals (and possibly vampires) from Christianity's own perspective
by Jim Walker (an ex-cannibal)

Soma zaidi: Christian Cannibals
 
Post ishaingiliwa tayari hakuna mjadala tena!wenye hekima hawatawajibu wenye mlengo wa kubeza imani za wengine kwa njia hii watadhoofika na kupwaya na kubaki kuwa wapuuzi milele
 
Nyie mkiukashifu uslam mnapongezana, huyu dada Faiza Fox akiutetea uislam mnamshambulia kwa matusi! hivi mkoje.?
umsolopagazi hii post hakuna mahali nimeukashifu uislam wala kuutaja. Naheshimu imani za wengine natoa rai na wengine waheshimu imani zisizo zao
Ukiona post haikuhusu usitumbukize visivyohusika sana sana kama mtu anawashwa sana jukwaa lipo aanziishe post yake atapata wachangiaji huko
Si jambo jema kuingilia post na kuleta yasiyohusika nayo faiza na ally wanajulikana kwa upuuzi wa kuchafua nyuzi za wengine this is too low...ndo maana kwangu mimi wao ni sawa na kamasi tuu
 
Last edited by a moderator:
Nimemuuliza mshana jr kuhusu sakaramento kuwa ile ni ibada au maigizo !?, badala yake anatokwa povu kama omo ?

Wewe ni mpuuzi tena mpuuzi hasa ulishindwa vipi kuanzisha mada yako kuhusu hiyo!siwezi kukujibu fanya ufanyavyo sema uwezavyo sikujibu ng'o kwakuwa hustahili kujibiwa na huna hadhi hiyo
 
Last edited by a moderator:
umsolopagazi hii post hakuna mahali nimeukashifu uislam wala kuutaja. Naheshimu imani za wengine natoa rai na wengine waheshimu imani zisizo zao
Ukiona post haikuhusu usitumbukize visivyohusika sana sana kama mtu anawashwa sana jukwaa lipo aanziishe post yake atapata wachangiaji huko
Si jambo jema kuingilia post na kuleta yasiyohusika nayo faiza na ally wanajulikana kwa upuuzi wa kuchafua nyuzi za wengine this is too low...ndo maana kwangu mimi wao ni sawa na kamasi tuu

Wewe mbona unasema ibada za wenzio?
Huu ni ukumbi huru wa JF, kanuni na masharti tumezingatia. Vinginevyo hii mada ungemtumia mkeo kama sms au whatsup ingekuwa jambo la maana.
Bali vumilia maumivu dozi iingie ! mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mpuuzi tena mpuuzi hasa ulishindwa vipi kuanzisha mada yako kuhusu hiyo!siwezi kukujibu fanya ufanyavyo sema uwezavyo sikujibu ng'o kwakuwa hustahili kujibiwa na huna hadhi hiyo

... ... .... tuliza makalio dozi ikuingie, ukitingishika utavunja sindano
 
Wewe mbona unasema ibada za wenzio?
Huu ni ukumbi huru wa JF, kanuni na masharti tumezingatia. Vinginevyo hii mada ungemtumia mkeo kama sms au whatsup ingekuwa jambo la maana.
Bali vumilia maumivu dozi iingie ! mshana jr

Ibada zipi za wenzangu?Familia yangu iweke kando wee kiazi, ongea namimi uhuru wako wa JF haunizuii kukupiga stop kwenye mada zangu tofautisha JF na mimi wee *****
 
Last edited by a moderator:
Ibada zipi za wenzangu?Familia yangu iweke kando wee kiazi, ongea namimi uhuru wako wa JF haunizuii kukupiga stop kwenye mada zangu tofautisha JF na mimi wee *****

Unanipiga stop wakati nachangia !
Nakwambia kama ni yako binafsi hii mada ungemtumia mkeo mchati kwenye whatsup, hapa JF vumilia tuu!
 
Unanipiga stop wakati nachangia !
Nakwambia kama ni yako binafsi hii mada ungemtumia mkeo mchati kwenye whatsup, hapa JF vumilia tuu!

Ni heri kukutana na mnyama mkali kuliko na mpumbavu katika upumbavu wake
 
Back
Top Bottom