Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

mshana jr nilikuuliza pale Kuwa hzo ibada hufanyikia wapi na wakat gan?

Uliaptaje nguvu au uwezo wa kwenda?

Inasemekana wachawi hawati sana mambo yao ya gizan yajulikane na yakijulikana mtu aliyesababisha kujulikana lazma wamuue sasa ww ulioataje Kibali cha kuona na wasikudhuru?

Kaka tulisoma chuo ambacho kilikuwa kinaogopeka sana kwakuwa palikuwa na temple kubwa na mengi tuliyoyafanya yalikuwa kitu kigeni miongoni mwa wenyeji
Hali hii iliwavutia waabudu shetani ambao walikuja kufanya tour kwetu nami kwa utashi wangu mwenyewe nikajitolea kwenda kufanya ziara kwao
Mimi nilikuwa mmojawapo wa tour guide kwahiyo niliwaeleza kwa ufasaha nao wakavutuwa kunikaribisha kwao kwa kifupi ni habari ndefu na ilikuwa wayback 1998
 
Last edited by a moderator:
Mwana sjui siku hizi umekuwaje!!!!yaani mada zako usiku zinatatanisha.

Kwa hiyo wenzio walikula nyama wewe ukakataa,hawakupata wasi wasi na uwepo wako eneo hilo??
 
Mwana sjui siku hizi umekuwaje!!!!yaani mada zako usiku zinatatanisha.

Kwa hiyo wenzio walikula nyama wewe ukakataa,hawakupata wasi wasi na uwepo wako eneo hilo??

Hahahahaaaaaaa mkorinto nikikusimulia kila kitu utanikimbia
 
Last edited by a moderator:
mshana jr

............. vipi kuhusu ibada ya sakaramento, ambayo mnakula mwili wa Bwana na kunywa wine iliyobadilika kuwa damu ya bwana !?

Nayo hiyo ni ibada sahihi !?
:confused2:
 
Last edited by a moderator:
Kama una pesa ya kuandaa sherehe it,s better to keep calm........
 
............. vipi kuhusu ibada ya sakaramento, ambayo mnakula mwili wa Bwana na kunywa wine iliyobadilika kuwa damu ya bwana !?

Nayo hiyo ni ibada sahihi !?
:confused2:

👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
 
Tunaweza kubisha tu kwa mazoea na bila tafakuri ya kiba lakini hivi vitu ni ibada kamili na yenye madhabahu kamili jaribu kuangalia vibebeo vya keki vitambaa na vikolombwezo vingine utaniambia

kikore shighainii, kwa kilawooh kila mndu eende ufreemason abighe mipetha......ooooh mfumwa mrungu tughenje....vene tukoma vose
 
We mshana umevurugwa ..
unataka keki tulie vidole au??
 
Ndege wafananao.. ..!!!

unajua mkuu, kila kitu duniani ukikifatilia hasa kiibada utasema ni cha kishetani
Mathalani misa za kikristo na sherehe zao zote zina asili ya upagani na ushetani kutoka dini ya mithra sasa ukiendekeza udukuzi hutaingia kanisani wala misikitini.
 
Hahahahaaaaaaa mkorinto nikikusimulia kila kitu utanikimbia

Kama ile ya juzi ya kumlinda marehem mwenye alubinism,sikukuelewa.

Eti wenzio wakakimbia wewe ukaendelea kulinda kaburi.seriouse!!!!!na kicheko juu.eti ukaunganisha na meditation!!!wewe ushakuwa mchawi.

We endelea kutuvujishia siri zillizo sirini,ila naomba isiwe night Kali.maana hukawii kumlaza mtu taa inawaka na mziki usiku kucha.
 
Last edited by a moderator:
unajua mkuu, kila kitu duniani ukikifatilia hasa kiibada utasema ni cha kishetani
Mathalani misa za kikristo na sherehe zao zote zina asili ya upagani na ushetani kutoka dini ya mithra sasa ukiendekeza udukuzi hutaingia kanisani wala misikitini.

Hapa ni uwanja huru hatuwezi kufanana kwa hoja kwahiyo upo sahihi!binafsi najua ninachoamini na kwanini nakiamini na kukiabudu kwahiyo huwa siyumbishwi
 
Ndio maana nikasema tunatekeleza ibada tusizozijua huku tukifikiri ni tendo la furaha kinyume chake kumbe kuna siri imefichama
Waafrika hatuna utamaduni wa kukata keki na ishu ya ndafu ni ya mila na desturi za kichagga

kwahiyo mkuu mshana jr unataka kuniambia kwa wachaga wao ni ruksa kukata ndafu kwasababu ni desturi yao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom