Umslopagazi
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 1,737
- 935
Hapa ni uwanja huru hatuwezi kufanana kwa hoja kwahiyo upo sahihi!binafsi najua ninachoamini na kwanini nakiamini na kukiabudu kwahiyo huwa siyumbishwi
Ila unayumbisha wengine sio!
Hapa ni uwanja huru hatuwezi kufanana kwa hoja kwahiyo upo sahihi!binafsi najua ninachoamini na kwanini nakiamini na kukiabudu kwahiyo huwa siyumbishwi
umsolopagazi hilo sio neno zuri siyumbishi mtu ila naongea kile ninachojua halafu mtu asome atafakari aamue mwenyewe kukifanyia kazi...!shida moja kubwa sana ni kwamba wengi wetu ni wavivu wa kufikiri na tumefungwa kwenye box la mazoea na Hatuko tayari kusikia tofauti na tunachokijuaIla unayumbisha wengine sio!
Kaka tulisoma chuo ambacho kilikuwa kinaogopeka sana kwakuwa palikuwa na temple kubwa na mengi tuliyoyafanya yalikuwa kitu kigeni miongoni mwa wenyeji
Hali hii iliwavutia waabudu shetani ambao walikuja kufanya tour kwetu nami kwa utashi wangu mwenyewe nikajitolea kwenda kufanya ziara kwao
Mimi nilikuwa mmojawapo wa tour guide kwahiyo niliwaeleza kwa ufasaha nao wakavutuwa kunikaribisha kwao kwa kifupi ni habari ndefu na ilikuwa wayback 1998
Naandika makala hii si kwa ajili ya kubeza mila na desturi za wengine au kukosoa utaratibu uliozoeleka kwenye matukio mengi ya furaha.
Naandika makala hii kuonyesha siri mbinu na mitego anoyotumia shetani kumuangamiza mwanadamu
Kwa kuweka wazi jinsi shetani anavyoturubuni na kumtumikia bila kujua itatusaidia kumkabili adui huyu dhidi ya maisha yetu na wapendwa wetu
SHEREHE NYINGI ZA KUKATA KEKI NA NDAFU NI IBADA ZA SHETANI
Niliwahi kuhudhuria ibada ya mashetani nje ya Tanzania, tendo moja kubwa na muhimu ni kula nyama nakunywa damu ya binadamu. Ni tendo la kikatili mno na lililojaa mateso kwa mhanga! Mimi sikula wala kunywa.
Vitu muhimu viwili hutumika kisu kikali na uma unaofanana na huu;
View attachment 259703
Angalia tendo la kukata keki watu hukusanyika kuimba kwa pamoja kwa sauti ya juu na furaha kisha mlengwa huchukua kisu kikali na kukata keki iliyoandaliwa kisha huchukua uma na kuanza kuwalisha watu! Unajiuliza kwanini uma kwanini kisu kwanini hili tendo hufanywa maalum na la kipekee? Tafakari.
Tendo la kukata NDAFU
Chakula ni ibada takatifu, chakula hakichezewi, chakula ni dawa na tiba kwa ajili ya mwili, ni kitu cha kipekee mno, ndio maana kina utaratibu wake wa kukila! Refer table manners.
Sasa inaleta sintofahamu pale mnyama anapochinjwa lakini nyama yake isitengenezwe kwa utaratibu wa kawaida bali kubanikwa na kuwekwa kama sanamu kisha nyama yale kuliwa kwa style ileile ya kisu na uma! Hii ni ibada ambayo haimbariki Mungu.
Unajisikiaje kula nyama katika mtindo ule? Tendo la kufanya haya na tendo lile linalofanyika kwenye ibada za kumuabudu shetani vinashabihiana sana sana.
Kwahiyo wapendwa, hata wale ambao wana sherehe mbalimbali leo, tafakarini kwa makini mtakapokuwa mnakata keki na ndafu kwa kisu kikali kisha kuwalisha watu ama kwa uma au stiki zenye ncha kali.
Unapofanya sherehe, epuka kufanya mambo ambayo yataambatana na ibada usizozijua. Andaa vyakula na vinywaji lakini vitumike kwa utaratibu. Usiache chembechembe za hofu na maswali yasiyoisha. Kwa kufanya hivyo, tutakuwa tunamseta na kumuabisha shetani.
Ni mtazamo tu lakini wenye uhalisia...!
Usinichukie.
Nilihudhuria mara moja si kula wala sikunywa!watu wanaopotea na wasipatikane tena hupelekwa sehemu kama hizi
Maranyingi mtu huletwa madhabahuni ambayo ni jeneza na kuchinjiwa humo...usiniulize zaidi tafadhali
Mshana jr. Huo ni uongo mtupu. Ndafu asili yake ni uchagani. Angalau hapa Tz. haifanani na hayo uliyosema hapo juu.
Muhammadan, nyie kama mnasema kuwa Yesu ni Muislam, mbona hamli Mkate wa Bwana na kunywa Damu yake kama alivyo fanye yeye Yesu?
. Kiogozi, niachie huyo kijana nimfunze adabu. Hato chukua hata dakika moja, atakuwa miguu chaliUsitafute msaada wee ni mpuuzi na utabaki kuwa mpuuzi kukujibu wewe is a load of wastage kwakuwa inafahamika unalenga nini
Muhammadan, nyie kama mnasema kuwa Yesu ni Muislam, mbona hamli Mkate wa Bwana na kunywa Damu yake kama alivyo fanye yeye Yesu?
Hapo ndipo utafahamu kuwa, Allah na Muhammad walikuwa wasanii tu.
. Sawa sawa. Tuachane naye maana hao Muhammadans hawana jipya zaidi ya upweke ambao umewashika baada ya Mtume wao kufa na kuwaacha yatima.Hukupaswa kumjibu huyu juha MaxShimba tutatoka nje ya mada, anajulikana vema kwa kuvuruga mijadala ukiweza mpotezee
Naona michango mingi imejikitika kwenye ndafu hili nililitegemea na sababu kuu ni kwamba ndafu ni nyama
. Sawa sawa. Tuachane naye maana hao Muhammadans hawana jipya zaidi ya upweke ambao umewashika baada ya Mtume wao kufa na kuwaacha yatima.
..... sakaramento sio ibada !? au unakimbia kivuli ? :confused2:
Usitafute msaada wee ni mpuuzi na utabaki kuwa mpuuzi kukujibu wewe is a load of wastage kwakuwa inafahamika unalenga nini
umeanza kauli zako za kichonganishi.