Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

Wewe mbona unasema ibada za wenzio?
Huu ni ukumbi huru wa JF, kanuni na masharti tumezingatia. Vinginevyo hii mada ungemtumia mkeo kama sms au whatsup ingekuwa jambo la maana.
Bali vumilia maumivu dozi iingie ! mshana jr
Ally Kombo Huyu mshana jr ana matatizo na hataki kukubali, anasapoti wanaoukashifu uislam na anawashutumu wanaoutetea! majanga.
 
Last edited by a moderator:
Kirusi ni kimelea kibaya sana kikiingia popote huchafua hali ya hewa kama ni chakula au chakunywa ukikitumia tu tegemea kuchafukwa na tumbo, kama ni kitandani akakuuma mbu mwenye Kirusi cha malaria humalizi wiki, ofisini safarini kwenye sherehe popote pale Kirusi kiharibifu kikitia timu mambo yote huharibika
Kwa muktadha huo hata JF virusi Vipo, mnajadiliana kwa hoja lakini virusi vikishaingia post yote huharibika na kubakia na majibizano yasiyo na tija hizi ni roho zilizojaa mahangaiko daima hutafuta pa kuleta dhahama kwa hoja nyepesi na za kipuuzi
 
mshana jr anahoji imani za wenziwe na anaziona zina kasoro, ila imani yake hataki. ihojiwe wakati inafanya yale yale ya kula mwili wa bwana na kunywa damu yake kisha kujisifu ametakasika. Wakati ni ushirikina wenyewe wanaita kushiriki !
 
Last edited by a moderator:
Kirusi ni kimelea kibaya sana kikiingia popote huchafua hali ya hewa kama ni chakula au chakunywa ukikitumia tu tegemea kuchafukwa na tumbo, kama ni kitandani akakuuma mbu mwenye Kirusi cha malaria humalizi wiki, ofisini safarini kwenye sherehe popote pale Kirusi kiharibifu kikitia timu mambo yote huharibika
Kwa muktadha huo hata JF virusi Vipo, mnajadiliana kwa hoja lakini virusi vikishaingia post yote huharibika na kubakia na majibizano yasiyo na tija hizi ni roho zilizojaa mahangaiko daima hutafuta pa kuleta dhahama kwa hoja nyepesi na za kipuuzi

Kunywa zile dawa za rangi mbili ndorooobo!
 
Hivi kuna siku umeacha kuliponda kanisa katoliki hata kwa dk moja?? Hakika nakuombea uujue ukweli wa imani yako uliyonayo.

Wewe ndo unapaswa kujua ukweli kuwa unakunywa Dodoma Wine na si damu ya Yesu Mjamaa1
 
Last edited by a moderator:
Wewe mbona unasema ibada za wenzio?
Huu ni ukumbi huru wa JF, kanuni na masharti tumezingatia. Vinginevyo hii mada ungemtumia mkeo kama sms au whatsup ingekuwa jambo la maana.
Bali vumilia maumivu dozi iingie ! mshana jr

Ni wapi kazungumzia dini
 
Tulia mwanachama wa Isis ww mbona unatoa povu bila fikra kwan ni wapi amezungumzia uislam mpaka utoe povu punda ww
 
Last edited by a moderator:
Ibada za kishetani sio dini ? au hujawahi kusikia Dini za kisheta ? Rudia kusoma mada hapo juu
Umeamua kuwa mpumbavu makusudi sio !?

Kwahyo uislamu ni ibada ya kishetan? Mbona umekuja juu?
 
Ibada za kishetani sio dini ? au hujawahi kusikia Dini za kisheta ? Rudia kusoma mada hapo juu
Umeamua kuwa mpumbavu makusudi sio !?

Mm sio mpumbavu bali mpumbavu ni yule mtu mzima anayekomalia kuandamana huku akiwaacha watoto wake wajiombaomba kisa mtoto wa jiran kakojolea msaafu
 
Jaman ni wapi ameukashifu uislamu? Kweli waislam hamna akili

Ni nani kakwsmbia Uislaam umekashifiwa ? Yeye kaulizwa aeleze kama ibada ya sakaramento ni ya kishetani au halali ? ana panic!
 
Mm sio mpumbavu bali mpumbavu ni yule mtu mzima anayekomalia kuandamana huku akiwaacha watoto wake wajiombaomba kisa mtoto wa jiran kakojolea msaafu

Kumbe mmoja wapo eeeh! ile ibada ya kunywa wine altareni pia ni ya kishetani
 
Duuuuuu aseeeeee dunia ya saiv kila kitu ni hatarii daaaah mungu tusaidie na tusameheee
 
Back
Top Bottom