mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,628
Mie najua ile nyama ikisaliwa kiushetani na watu wakala hapo ndio mtu katimiza malengo yake ya kutoa sadaka anayojua yeye aubwanaojua kwanini wamefanya hivyo.
Ni kama kuna sherehe mahala na wtu wamealikwa kuna ambao wanafanya sherehe hazina kichwa wala sababu ili watoe sadaka ikiliwa na wengi.
Hapo sasa labda anataka achukue nyota, mafanikio yamjie yeye, waugue, wateseke, wafilisike, wagombane yote itategemea na ameombwa nini na anayemsaidia kufanya ushetani.
Mfano wanasema ukiona kuna mtu kila wakati anafanya sherehe na hajali hata kama kuna waliovamia kuonea uchungu pato yake huyo inabidi ukimbie, sababu anaweza kuwa asilimia kubwa lazima sadaka yake ni kulisha wati nyama ambayo imeshachawiwa ili atimize lengo lake.
Na mengine mengi
Ila ulienda kufanya nini huko kwenye mashetani?