Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

Mshana ww ni nouma hivi hizi ibada znafanyikia wapi? Na wakat gani
 
kwa hyo na wew ni mwabudu shetani? Huko ulipoenda kuhudhuria hyo ibada ulikua unagundua nini?? Kwa nin hukunywa damu??? nin kilikuogopesha kunywa,,,, na je ilikuaje kuaje ukahudhuria ibada zao mzeee??? kama cipo sawa rekebsha mshana
 
Last edited by a moderator:
Nadhani tunatakiwa kufahamu kua jambo lolote linalofanyika huwa na maana nyingi na maana kamili anayo huyo anayefanya kwahiyo basi linaweza kufanyika jambo moja kwa watu tofauti ila kila mtu akafanya kwa kumaanisha anachotaka yeye kimaanishe....pia kuna mpokeaji wa jambo hilo wanatofautiana uwezo wa kutafakari kwahiyo watu wanaweza tafakari jambo waliloliona,kusikia au kusoma kqa utofauti kulingana na iwezo wao..

..mwisho kabisa kitu kua sahihi au sio sahihi ni inategemea anayefanya anamaanisha nin na anayepokea ameelewaje,muhimu zaidi kujua kujua anayefanya ni kwa maana gani,kwahyo hawez sema jambo flan ni baya kwa kuangalia maana moja ya mtu mmoja au kikundi wanafanya bila kujua mtu mwingine anafanya jambo hlohlo kwa maana gani
 
kwa hyo na wew ni mwabudu shetani? Huko ulipoenda kuhudhuria hyo ibada ulikua unagundua nini?? Kwa nin hukunywa damu??? nin kilikuogopesha kunywa,,,, na je ilikuaje kuaje ukahudhuria ibada zao mzeee??? kama cipo sawa rekebsha mshana

Sikunywa wala kula kwakuwa sikuwa mmojawao nilienda kama mgeni nilienda kuona na kushuhudia mwenyewe sitaki kusimuliwa na sio huko Nimehudhuria pia ibada za Taoism, confucious,Krisna nknk
 
Last edited by a moderator:
inaonekana unayajua sana haya mambo na hizo imani zao:confused2:... EMB TUPE ELIMU MKUBWA:msela:
 
Tenda wema nenda zako. Achana na mapokeo ya kufikirika. Mungu hayuko hivyo. By the way shetani amekopi mambo mengi ya Mungu. Songa mbele mtu wa Mungu
 
inaonekana unayajua sana haya mambo na hizo imani zao:confused2:... EMB TUPE ELIMU MKUBWA:msela:

Nimeishi nazo kwa miaka kumi na baadhi yake nikizishiriki kwa zaidi ya zaidi
 
Hivi haiwez kuwa mashetani ndo wanaiga namna za kimungu ili kuwafanya watu wa Mungu waone ni kawaida? Je uma na kisu vina uhusiano gani na Mungu, kwani nyumbani visu na uma havitumiki? Sidhani kama kila kitu ni cha shetani
 
Rudia tena kwa makini kunisoma sijasema ni vya shetani bali matumizi yake sehemu husika na tukio linaloambatana navyo
 
Rudia tena kwa makini kunisoma sijasema ni vya shetani bali matumizi yake sehemu husika na tukio linaloambatana navyo

Nimekuelewa mkuu, je na ukifanya vitu hivi bila kudhamiria je utakuwa unatekeleza ibada hizo? Naona waafrika tunaiga tu bila kujua
 
mshana jr nilikuuliza pale Kuwa hzo ibada hufanyikia wapi na wakat gan?

Uliaptaje nguvu au uwezo wa kwenda?

Inasemekana wachawi hawati sana mambo yao ya gizan yajulikane na yakijulikana mtu aliyesababisha kujulikana lazma wamuue sasa ww ulioataje Kibali cha kuona na wasikudhuru?
 
Last edited by a moderator:
Nimekuelewa mkuu, je na ukifanya vitu hivi bila kudhamiria je utakuwa unatekeleza ibada hizo? Naona waafrika tunaiga tu bila kujua

Si lazima ujue na ndio maana nikasema huwa tunatekeleza ibada tusizozijua kwa mfano ukimuuliza yeyote nini maana ya kukata keki kwenye sherehe yeyote atakupa blabla tu
 
View attachment 259719View attachment 259720View attachment 259720 Rudia kusoma nilichosema kuhusu chakula utanielewa
Kula kwa stiki uma na kisu si shida, tatizo lipo kwenye tendo la kuizindua hiyo ndafu na mlengwa wa shughuli husika jaribu kugoogle ibada za mashetani utapata mengi na pia refer heading na tahadhari niliyoweka

Tendo unalolizungumzia hapa linaendana na dhamira ya kukata keki au ndafu. Ktk sherehe sidhani kama wahusika huwa wananuia kumfurahisha shetani.

Pia labda Mshana jr ukngetupatia historia ya keki na ndafu ktk utamaduni kiafrika.
 
Ndio maana nikasema tunatekeleza ibada tusizozijua huku tukifikiri ni tendo la furaha kinyume chake kumbe kuna siri imefichama
Waafrika hatuna utamaduni wa kukata keki na ishu ya ndafu ni ya mila na desturi za kichagga
 
Back
Top Bottom