Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

Tunatumikia ibada tusizozijua na bila kufahamu

Kwaiyo kila kitu ni ushetani sasa,iyo keki ulitaka ikwate kwa kijiko ndo ionekana ni jambo la ki Mungu au,so far hata kuku anabanikwa na ndege wengine kilichokufanya uone kubanikwa kwa mbuzi ni ushetani ni nini

Ni mtazamo...!
Kubanikwa si shida shida ni ule mchakato wa kumla uilivyo
 
Inamana ww ulikuwa miongoni mwao wa hao mashetani?nao binadamu mlikuwa mnakula mizoga au waliohai?na mnawapataje?
 
mshana jr

1434182948534.jpg1434182961714.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kwenye keki na ndafu kisu uma na siku hizi stiki ni ada, na ni tendo la kipekee tofauti na vyakula vingine ambavyo vina mbadala
Pata hii picha kuna sherehe yenye keki au pengine ndafu kikikosekana kisu na uma vyaweza zua zogo na hata mleta keki kushushiwa mzigo wa lawama...tafakari

* Mkuu mbona umekwepa maswali yangu

* Kama ushetani upo kwenye sherehe yenye keki au ndafu zinazoliwa kwa kutumia kisu 'kikali' na uma au stiki, je vyakula vingine vikiliwa kwa kutumia the same utensils halafu isiwe sherehe au tendo la 'kipekee' hamna ushetani?
 
Tunaweza kubisha tu kwa mazoea na bila tafakuri ya kiba lakini hivi vitu ni ibada kamili na yenye madhabahu kamili jaribu kuangalia vibebeo vya keki vitambaa na vikolombwezo vingine utaniambia
mshana jr,
Vitu unavyozungumza ni vya kufikirika zaidi kuliko FACTS..!
 
Last edited by a moderator:
* Mkuu mbona umekwepa maswali yangu

* Kama ushetani upo kwenye sherehe yenye keki au ndafu zinazoliwa kwa kutumia kisu 'kikali' na uma au stiki, je vyakula vingine vikiliwa kwa kutumia the same utensils halafu isiwe sherehe au tendo la 'kipekee' hamna ushetani?

1434183226220.jpg1434183240927.jpg1434183240927.jpg Rudia kusoma nilichosema kuhusu chakula utanielewa
Kula kwa stiki uma na kisu si shida, tatizo lipo kwenye tendo la kuizindua hiyo ndafu na mlengwa wa shughuli husika jaribu kugoogle ibada za mashetani utapata mengi na pia refer heading na tahadhari niliyoweka
 
Inamana ww ulikuwa miongoni mwao wa hao mashetani?nao binadamu mlikuwa mnakula mizoga au waliohai?na mnawapataje?

Nilihudhuria mara moja si kula wala sikunywa!watu wanaopotea na wasipatikane tena hupelekwa sehemu kama hizi

Maranyingi mtu huletwa madhabahuni ambayo ni jeneza na kuchinjiwa humo...usiniulize zaidi tafadhali
 
mshana jr,
Vitu unavyozungumza ni vya kufikirika zaidi kuliko FACTS..!

Unaweza kuwa sahihi kabisa lakini vitu vya kiroho havinaga ithibati za kisayansi hivyo kuonekana ni passive zaidi kuliko active na hapa ndipo penye changamoto kuhusiana na haya mambo ila ukiwa unazifuatilia sana hizi habari unapata mtazamo mpya wenye mengi yasiyojulikana na wengine
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unajua kila kitu ukikiangalia kwa mtazamo hasi ni kibaya..... kwa hiyo hili ni suala la mtazamo wako tu...your attitude matters kwa hiyo kwa mimi nisiye kuwa na mtazamo hasi juu ya hilo wala hamna shida.
 
View attachment 259719View attachment 259720View attachment 259720 Rudia kusoma nilichosema kuhusu chakula utanielewa
Kula kwa stiki uma na kisu si shida, tatizo lipo kwenye tendo la kuizindua hiyo ndafu na mlengwa wa shughuli husika jaribu kugoogle ibada za mashetani utapata mengi na pia refer heading na tahadhari niliyoweka

Ila hapo kwenye ndafu hadi wanamsimamisha mnyama na jani mdomoni hata mi sijapapenda maana ni kama mnalazimisha mbuzi aliwe kidogokodogo akiwa mzima...why nyama isikatwe tu ikawekwa kwenye masahani watu wale kuliko hyo ya kujifanya watu mnakula mbuzi mzima mzima
 
* Kitu kizuri ni kuwa mwishoni umesema ni mtazamo wako......by the way huwa nasoma kuhusu hizi symbols and signs za kishetani, ukizifuatilia sana utakuta karibu kila kitu tunachofanya ni cha kishetani kitu ambacho si cha kweli.
 
Ila hapo kwenye ndafu hadi wanamsimamisha mnyama na jani mdomoni hata mi sijapapenda maana ni kama mnalazimisha mbuzi aliwe kidogokodogo akiwa mzima...why nyama isikatwe tu ikawekwa kwenye masahani watu wale kuliko hyo ya kujifanya watu mnakula mbuzi mzima mzima

This is the key point kaka
 
Sahihi kabisa KOKUTONA tulibanika na kuoka lakini sio kwa staili ya ndafu
Ancestors wetu waliabudu miungu kulikuwa na mungu wa jua wa mwezi wa maji wa upepo wa mvua nk nk na wote hao walifanyiwa ibada za matambiko ambazo hata hivyo ni tofauti kabisa na hizi ibada za shetani
Nilifikiri unaelewa kitu unachoandika lakini baada ya kuisoma hii reply yako nimejua bado haujaelewa unachoandika au unaelewa lakini una lengo fulani.

Hakuna ibada kinyume na ilivyoamriwa kwenye Bible isiyo ya mashetani.

Mungu Muumba wa Mbingu na nchi ndiye mmoja peke yake asiyegawanyika kiibada lakini shetani anazo tabaka nyingi sana za ibada zenye aina na mifumo mingi sana tofauti lakini zote kwa wingi wake zinamuelekea shetani mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Kuongea jambo kwa hofu ya mapokeo ni Utumwa
Kuongea jambo kwa kudhamiria kuwafurafisha watu ni Utumwa
Kuongea nafsi yangu, mawazo yangu bila kuzongwa na mawazo ya mapokeo au mrejesho ni Uhuru.

Keki Inaandaliwa Kwa Bidhaa Haumizwi Mtu
Ng'ombe, Mbuzi tumepewa ili watutumikie ni halali kuliwa

Hisia za hofu na kufananisha kila jambo na ushirikina, freemanson ni ishara kutaka kulazimisha kuaminisha jamii waliofanikiwa wachawi na sisi masikini ndio watakatifu wa Mungu
 
Back
Top Bottom