Dah ndege JOHN mbona umeuliza swali la namna hii wakati wewe ni mtalaamu wa maji? Hakuna sheria inayozuia makampuni binafsi yasifanye geophysical survey ili mradi iwe kampuni iliyosajiliwa kisheria na pia awe na kibali toka wizarani. Kuhusu kufanya Vertical Electrical Sounding, huwa inategemea na topography ya eneo husika ambayo ndiyo itamfanya mtu afanye selection either apige V.E.S au apige kwanza electro magnetic/ magnetic survey ili ku determine anomaly kisha umalizie na V.E.SGeological survey mnapofanya kupiga VES Nyie hutumia kifaa gani terrameter au?
By the way me pia NI mtaalamu wa hydrogeology ktk ofisi ya bonde fulani.i am so interested na hii thread af sikujua kama na nyie kampuni binafsi mnafanya Survey me nilijua sisi TU bonde ndii hufanya na kutoa leseni ya uchimbaji...Leo ndo nimejua so nyie mnatumia kifaa ganiView attachment 2070352
asante kwa majibu mazuri. kunywa soda nitalipiaDah ndege JOHN mbona umeuliza swali la namna hii wakati wewe ni myalaamu wa maji? Hakuna sheria inayozuia makampuni binafsi yasifanye geophysical survey ili mradi iwe kampuni iliyodajiliwa kisheria na pia awe na kibali toka wizarani. Kuhusu kufanya Vertical Electrical Sounding, huwa inategemea na topography ya eneo husika ambayo ndiyo itamfanya mtu afanye selection either apige V.E.S au apige kwanza electromagnetic/ magnetic survey kisha ili ku determine anomaly kisha umalizie na V.E.S