Jumla ya gharama ni kiasi gani? Nafikiri alimaanisha hivyoTotal ukimaanisha jumla ya gharama?
Sina report yoyote utaanza from the scratchOk, kama ni hivyo anipatie ripoti ya mtafiti nione kazi inataka nini na nn
Uchimbaji wa kisima unategemea mambo yafuatayo:-Kwa uzoefu wako kisima kimoja kina uwezo wa kumwagilia shamba ukubwa kiasi gani (interm of ekari) mfano shamba la parachichi. Umwagiliaji ambao sio wa matone (drip). Na je hicho kisima ni mazingira gani yanaweza kukifanya kikauka maji
Nashkuru mkuu, nimehifadhi namba zenu kwa matumizi ya baadaeUchimbaji wa kisima unategemea mambo yafuatayo:-
Aina ya Matumizi (nyumban,shamba au biashara): mteja husema anataka maji kwa ajili ya kazi gani, hivyo kupelekea uchimbwaji wa kisima kwa kiasi ambacho hukidhi mahitaji au kutoa wastani mzuri.
Uhitaji wa maji kwa lengo husika:: mtu mwenye ekari moja na mwenye ekari kumi hawawez kuwa na uhitaji sawa. Lakini pia anayelima mchicha na anayelima parachichi au matunda kwa ujumla hawawez kuwa na uhitaji sawa.
Majibu ya swali la kwanza:::Baada ya maelezo hayo napenda kukujulisha kwamba kwa parachichi kisima kimoja kikichimbwa kwa kina cha uhitaji wa maji ya mengi (max depth) kisima kimoja kinaweza kumwagilia kati ya ekari 20 mpka 30 kama umwagiliaji utakuwa frequent.
Swali la pili: kisima kukauka ni mpka janga la ukame litokee. Lasivyo labda uchimbiwe kihuni. Mbali na hapo labda litokee jambo ambalo lipo nje ya uwezo wa binadamu kama vile tetemeko.
Asante karibu mkuu
Ina wezekana kuchimba kisima na nikatumia water pump machine kwa umwagiliaji usio wa mfumo wa drip?.Habarini wana jamvi, leo ni siku ya kutoa ushauri bure wa kuhusiana na uchimbaji wa visima. karibu uliza lolote tuweze kujadiliana na upate majibu. karibuni saana wana jamvi. maswali zaidi 0682276767.
Hiyo hapoWater pump unamaanisha nini maana wengi huchanganya mambo
Nimeshakuelezea hapo chini. Lakin ni vyema kuwa na miundombinu bora ambayo haiongezi gharamaHiyo hapo View attachment 2107577
Hii haina uwezo wa kuvuta maji ya kisimaHiyo hapo View attachment 2107577