Okay shukraniNamaanisha kutoka kisimani chini kwani uwezo wake wa kusukuma ni mdogo na haijatengenezwa kwa ajili hiyo
Hicho kisima cha max depth ni cha mita ngapi?Uchimbaji wa kisima unategemea mambo yafuatayo:-
Aina ya Matumizi (nyumban,shamba au biashara): mteja husema anataka maji kwa ajili ya kazi gani, hivyo kupelekea uchimbwaji wa kisima kwa kiasi ambacho hukidhi mahitaji au kutoa wastani mzuri.
Uhitaji wa maji kwa lengo husika:: mtu mwenye ekari moja na mwenye ekari kumi hawawez kuwa na uhitaji sawa. Lakini pia anayelima mchicha na anayelima parachichi au matunda kwa ujumla hawawez kuwa na uhitaji sawa.
Majibu ya swali la kwanza:::Baada ya maelezo hayo napenda kukujulisha kwamba kwa parachichi kisima kimoja kikichimbwa kwa kina cha uhitaji wa maji ya mengi (max depth) kisima kimoja kinaweza kumwagilia kati ya ekari 20 mpka 30 kama umwagiliaji utakuwa frequent.
Swali la pili: kisima kukauka ni mpka janga la ukame litokee. Lasivyo labda uchimbiwe kihuni. Mbali na hapo labda litokee jambo ambalo lipo nje ya uwezo wa binadamu kama vile tetemeko.
Asante karibu mkuu