mwagito25
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 633
- 350
- Thread starter
- #241
well matumizi ya vifaa hutegemea upatikanaji wa vifaa na nature ya eneo linalopimwa kama ni kichanga au lah. kuhusu kampuni binafsi kupima ni jambo la kawaida kwa sababu ili kusajili kampuni lazima kuwe na experts wa kazi husika hususani proffessional works kwa sababu mfano huwezi kushika kazi za serikali kama kampuni haina CRB na huwezi kupata CRB bila kuwa na wataalamu. kuhusu leseni wanaotoa lesenina mamlaka za mabonde tu katika kila zone. all in all taasisi binafsi na serikali zinategemeana mfano uchimbaji ungeachwa kwa serikali pekee kazi ingekuwa nyuma saana maana serikali haina mashine za kutosha. asante na karibu tena.Geological survey mnapofanya kupiga VES Nyie hutumia kifaa gani terrameter au?
By the way me pia NI mtaalamu wa hydrogeology ktk ofisi ya bonde fulani.i am so interested na hii thread af sikujua kama na nyie kampuni binafsi mnafanya Survey me nilijua sisi TU bonde ndii hufanya na kutoa leseni ya uchimbaji...Leo ndo nimejua so nyie mnatumia kifaa ganiView attachment 2070352