Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Geological survey mnapofanya kupiga VES Nyie hutumia kifaa gani terrameter au?
By the way me pia NI mtaalamu wa hydrogeology ktk ofisi ya bonde fulani.i am so interested na hii thread af sikujua kama na nyie kampuni binafsi mnafanya Survey me nilijua sisi TU bonde ndii hufanya na kutoa leseni ya uchimbaji...Leo ndo nimejua so nyie mnatumia kifaa ganiView attachment 2070352
well matumizi ya vifaa hutegemea upatikanaji wa vifaa na nature ya eneo linalopimwa kama ni kichanga au lah. kuhusu kampuni binafsi kupima ni jambo la kawaida kwa sababu ili kusajili kampuni lazima kuwe na experts wa kazi husika hususani proffessional works kwa sababu mfano huwezi kushika kazi za serikali kama kampuni haina CRB na huwezi kupata CRB bila kuwa na wataalamu. kuhusu leseni wanaotoa lesenina mamlaka za mabonde tu katika kila zone. all in all taasisi binafsi na serikali zinategemeana mfano uchimbaji ungeachwa kwa serikali pekee kazi ingekuwa nyuma saana maana serikali haina mashine za kutosha. asante na karibu tena.
 
lakini pia kwa kuongezea ni kwamba kuna mda ili kurahisisha baadhi ya mambo ninyi ndege JOHN wa mamalaka za mabonde huwa tunawatumia katika geophysical survey na mpo wengi saana manapata chochote kitu kupitia sisi . pamoja tunajenga TAIFA
 
habari za asubuhi wakuu, ninashukuru kwa wote waliojielomisha kuhusu uduma zetu za uchimbaji wa visima bora vya maji vya kudumu. pia leo usisite muda upo tutajitahidi kukujibu kadri ya muda utavyoruhusu na maswali yote yatajibiwa............ maswali zaidi 0682276767
 
huduma zetu zinalenga kutatua changamoto za maji kwa kiasi kikubwa
 
habari wadau , ofa za mwaka mwaka 2022 zipo wazi kwa ajili yako wewe uliye tayari kufanya kazi nasi............. utafurahia huduma zetu muda wote..........mawasiliano 0682276767
 
karibu tupange mipango ya kufanikisha zoezi zima la uchimbaji kisima kwa ufanisi wa hali mzuri
 
kumekucha wadau. karibuni tena na leo tuweze kuendelea kushughulikia tatizo la kukuchimbia kisima cha uhakika chenye maji ya kutosha. ushauri na maelezo ni bure. kwa taarifa/maulizo zaidi pia waweza piga 0682276767/ whatsapp 0752925925
 
Kama jirani yangu kachimba kisima na anapata maji mengi tu bado utaniambia ni lazima upimaji wa kulipia laki 6?
mkuu, hapa kuna mambo matatu . unaweza ukapata maji kama jiran yako, unaweza pata karibu zaidi au ukapata mbaali zaidi. kahiyo basi jirani yako kupata maji sio jibu la mwisho la upatikanaji wa maji hivyo ni muhimu kufanya survey..........karibu kwa maswali zaidi
 
Kama mdau wa maendeleo ya kilimo na mifugo, usiache kujielimisha kuhusu uchimbaji wa visima hasa gharama zake na nini hasa huhusika na zoezi zima la uchimbaji. tunatoa ushauri bure. mawasiliano zaidi 0682276767
 
wadau, poleni na kazi. ni muda mzur wa kutafakari na kujielimisha kuhusu uchimbaji wa sima vyenye maji ya kutosha. maji ndio suluhisho la udumu ili kupoza na kumaliza ukame huu tunaouona .
 
maji tunyochimba yanafuata taratibu zoote za kitaalamu ili kutodhuru uhai wa mimea, wanyama na binadamu.. hivyo tunazingatia saana afya za mtumiaji kwa umakiniwa hali ya juu.
 
1642189125316.png
muhimu kinachoongeza aman na utulivu nyumban ni uhakika wa upatikanaji wa maji . hasara kama hizi zina epukika kwa kuwa na uhakika wa maiji kwa ajili ya kisima. karib
 
kazi yetu ni kuhakikisha unaelimishwa vya kutosha kisha unajipatia huduma bora kwa manufaa ya sasa na badae
 
habari za asubuhi wadau, siku zote ni furaha kwetu kukuchimbia kisima chenye maji ya uhakika kwani huduma zetu ni zinalenga kuleta furaha kwa wateja wetu siku zote. karibu tukuhudumie , mawasiliano 0682276767/ whatsapp 0752925925
 
uzima ni zawdi kutoka kwa mungu ......ni vyema tuutumie vizuri ili kuleta tija kwenye jamii tunaoish............bado tunaendelea kutoa huduma zetu bora za kuchimba visima. karibu tukuhudumie
 
karibuni sana kujipatia huduma zenye matokeo chanya kwa maendeleo yako
 
Back
Top Bottom